Naomba Jf msimjadili Rizone Kikwete kwa kuwa hana hadhi ya kujadiliwa hapa! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Naomba Jf msimjadili Rizone Kikwete kwa kuwa hana hadhi ya kujadiliwa hapa!

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by rosemarie, Jul 9, 2012.

 1. rosemarie

  rosemarie JF-Expert Member

  #1
  Jul 9, 2012
  Joined: Mar 22, 2011
  Messages: 6,768
  Likes Received: 1,023
  Trophy Points: 280
  Wakuu,
  tumekusanya taarifa zote zinazomhusu huyu mtoto,
  naomba kwa heshima kabisa Jf member ambao mnaaminika kama source nzuri ya taarifa kuacha kumjadili huyu kijana kwa kuwa hadhi yake ni ndogo mno na kamwe asiwapotezee muda wenu kumjadili,
  vilevile naomba wanasiasa wanao aminika kwa watanzania wajiondoe kabisa kwenye mijadala inayomhusu huyu mtoto"msen ge"kwa kuwa vimali anavyoshutumiwa navyo vimewekwa rehani na baba yake atakapo acha madaraka itakuwa ngumu kuendelea nazo kwa kuwa zimesajiliwa kwa majina tofauti ya watu
  hata kama angekuwa na mali za halali naona hakuna haja ya kumjadili kwa kuwa uwezo wake "brain" ni mdogo mno kuwafanya Great thinker kumjadili,
  naomba kufunga mjadala huu wa huyu mtoto taahira na kamwe tusione lolote kumhusu hapa Jf
  shukrani!
   
 2. K

  KISWAHILI Member

  #2
  Jul 9, 2012
  Joined: Apr 26, 2012
  Messages: 83
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Umesomeka
   
Loading...