Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

kwa wanao jua tu. On 14 July mercury goes retrograde, be ware of thievies, motor cars breakdown, computer break down, communication break down, quarrels, conmen, etc. Right now it is in the Rx...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Mfanyakazi wa Bank kuu Robert Wanga amechaguliwa kwa kishindo kuwa mwenyekiti wa ccm kata ya saranga kwa ushindi wa kishindo mno kwenye uchaguzi uliofanyika jana.Hongera sana wanga
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Nimatumaini yangu kuwa wote hamjambo na mnaendelea vizuri na majukumu yenu ya kila siku.ndg zangu naomba msaada kwa yeyote mwenye ufahamu juu ya hili anisaidie.wapendwa nina ndugu yangu ana umri...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Nimekuwa nikioanisha muundo wa mikanda ya usalama kwenye magari madogo na ile ya mabasi makubwa ya abiria na kuoana kama ifuatavyoL. Mikanda ya magari madogo (hususani ule wa dereva) inayoanzia...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Huyu shekh napenda michango yake,amekuwa na uwezo wa kufikiri zaidi juu ya watanzania wote bila kujali dini zao.,maana mashekh wengine wanaona ukijadili uthaifu wa serekali.ni kwamba unamjadili...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Kwa taarifa nilizozipata na ku-confirm ni kwamba Majambazi kadhaa wamevamia Calabash na kuumiza watu kwa risasi, ndugu yangu ni mmoja wa watu waliojeruhiwa na sasa tunaelekea Muhimbili. More to...
0 Reactions
78 Replies
7K Views
Hivi mnajiona sawa.Mpaka tv inayoendeshwa kwa kodi zetu tuilipie? Eti airtime ikiisha wanakata mpaka TBC1.Kwahiyo nayenyewe tuite chanel ya kulipia.Kweli hii ni TEKNOBANIA
0 Reactions
21 Replies
3K Views
Dar wins uranium battle Send to a friend Tuesday, 03 July 2012 23:14 digg Environmentalists opposing the uranium project argue that...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Habarini wandugu, kuna stendi imefunguliwa mwanzoni mwa mwezi huu mlandizi kibaha. Nilichoshuhudia ni kila basi la mkoani lazima liingie na kulipa ushuru. Je hii mbona haifanani kama stand ni...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Irene Mark Tanzania daima KAMUSI ya Kiswahili Sanifu inaeleza maana ya neno ‘Mjinga’ kuwa ni mtu asiyefahamu kitu au jambo fulani; ****, jura, gulagula, bozi, mpumbavu au juha, nami...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Hii mi-professor mingine siielewi kabisa, eti Governor wa BoT, Prof. Ndulu, anasema hajasoma taarifa ya Global Financial Integrity ya 2008; sasa sijui hata kama za miaka mingine amesoma. Hivi...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Wakuu naombeni mwenye kujua sehemu naweza kupata mbwa mzuri wa ulinzi ani PM. Asanteni
0 Reactions
1 Replies
2K Views
  • Closed
Hongera mjomba, kwa leo 7th july kutimiza umri wa miaka 33.ni umri wa kijana wa makamu na inabidi sasa uanze kuenenda kama umri wako, what do i mean by this? Namaanisha sasa uache ile tabia ya...
1 Reactions
56 Replies
5K Views
Heshima kwenu wakuu, Naomba kufahamu kama hii kitu inawezekana hapa Tanzania, kama inawezekana ni sifa na taratibu zipi zinahitajika ili kuanzisha hiyo kitu, Je imewahi kuwepo hapa nchini?
0 Reactions
3 Replies
4K Views
That's one way to beat the traffic! China opens record breaking 4,000ft-long bridgeChina has recently established a new record in building suspension bridges. The world’s highest and longest...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
WEEK IN REVIEW - FROM June 30th TO July 6th, 2012 1. The Plight Of Dr. Steven Ulimboka Dr. Steven Ulimboka, chairman of the Medical Association of Tanzania (MAT) Steering Committee, almost lost...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Dawasco mmekua hafungui maji kwa wakati na ratiba iliyopo. Tukija kulipa Bill za maji mnatuapatia estimated Bill wakati maji ndani ya mwezi mmoja nimepata siku 2 tuu. iweje mkadirie units 40...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
ama kweli leo sikukuu, hizi taa ziliwashwa kwa muda wa wiki moja tu.... Ila leo sikukuu ya sabasaba taa zimewashwa.... Sijui baada ya sabasaba zitawashwa tena lini, labda uhuru day........
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Nimejiuliza sana toka Werema ateuliwe kuwa mwanasheria Mkuu, nikikumbuka kauli yake alipoteuliwa kwamba atatimiza wajibu wake kwa kuzingatia sheria bila kufungamana na upande wowote. Nimefanya...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
http://1.bp.blogspot.com/-w3xZUihEf98/T-m72vNsufI/AAAAAAAAHco/2-i48vUy8Nk/s1600/IMG-20120626-WA000.jpg Akina mama wajawazito wakiwa wamelala wawili wawili hospitalini!
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Back
Top Bottom