Ya CUBA yanawezekana Tanzania | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ya CUBA yanawezekana Tanzania

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by mchemsho, Jul 8, 2012.

 1. mchemsho

  mchemsho JF-Expert Member

  #1
  Jul 8, 2012
  Joined: Jun 8, 2011
  Messages: 3,158
  Likes Received: 143
  Trophy Points: 160
  Nimeshtuka na kushangazwa mno na ripoti ya BBC asubuhi ikiripoti mlipuko wa kipindupindu nchini cuba ambapo watu 3 wamepoteza maisha., mara ya mwisho kuripotiwa kesi ya kipindupindu ilikuwa mwaka 1959.! Imagine that
   
 2. BONGOLALA

  BONGOLALA JF-Expert Member

  #2
  Jul 8, 2012
  Joined: Sep 14, 2009
  Messages: 13,784
  Likes Received: 2,393
  Trophy Points: 280
  hakuna huduma ya maji safi na salama tanzania,kipindupindu lazima kitumalize watanzania
   
 3. mchemsho

  mchemsho JF-Expert Member

  #3
  Jul 8, 2012
  Joined: Jun 8, 2011
  Messages: 3,158
  Likes Received: 143
  Trophy Points: 160
  lakini kuna somo la kujifunza hapo, wamewezaje zaidi ya miaka 60 bila kipindupindu
   
 4. Kyenju

  Kyenju JF-Expert Member

  #4
  Jul 9, 2012
  Joined: Jun 16, 2012
  Messages: 4,573
  Likes Received: 274
  Trophy Points: 180
  Mbwa gani? ua mbwa koko
   
 5. Kinyungu

  Kinyungu JF-Expert Member

  #5
  Jul 9, 2012
  Joined: Apr 6, 2008
  Messages: 4,381
  Likes Received: 3,341
  Trophy Points: 280
  Kitakuwa kimetokea Haiti na huko Haiti kilitokea India/Nepal kupitia wanajeshi wa nchi hizi wa UN wanaofanya kazi huko.
   
 6. The last don

  The last don JF-Expert Member

  #6
  Jul 9, 2012
  Joined: Aug 3, 2011
  Messages: 572
  Likes Received: 203
  Trophy Points: 60
  Vipi na wewe mheshimiwa huu ndio mchango wako katika mada hapo juu, au kuna kitu sijaelewa?
   
Loading...