Je unajua kwamba gharama za simu zimepanda kuanzia July mosi | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Je unajua kwamba gharama za simu zimepanda kuanzia July mosi

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Lunyungu, Jul 9, 2012.

 1. Lunyungu

  Lunyungu JF-Expert Member

  #1
  Jul 9, 2012
  Joined: Aug 7, 2006
  Messages: 8,836
  Likes Received: 75
  Trophy Points: 145
  Watanzania kwa mara nyingine tena kwa uwingi wa makampuni ya simu Tanzania , wizi wote walio tufanyia hadi sasa wanazidi kutuibia .Mimi kuanzia July 1 nimegundua kwamba gharama ziko juu kiasi Bungeni kodi yao kwa TCRA wameongeza kodi nao wameamua kutuumiza .Je tuandamane au serikali itaenda Mahakamani
   
 2. Lukansola

  Lukansola JF-Expert Member

  #2
  Jul 9, 2012
  Joined: Sep 5, 2010
  Messages: 5,456
  Likes Received: 75
  Trophy Points: 145
  tusonge hivyo hivyo mdogo mdogo maana kuibiwa hatukuanza leo, airtel wanatangaza offer ya free internet wakati ni fix tu, na hakuna anayefanya kitu, tcra kwa hakika wamo humu na hawaja take action itakuwa hii yenye baraka za sirikali Lunyungu?
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 3. Jotojiwe

  Jotojiwe JF-Expert Member

  #3
  Jul 9, 2012
  Joined: Mar 24, 2012
  Messages: 325
  Likes Received: 64
  Trophy Points: 45
  Nchi yenyewe ipo kwenye koma tutafanyaje!
   
 4. Ng'wanangwa

  Ng'wanangwa JF-Expert Member

  #4
  Jul 9, 2012
  Joined: Aug 28, 2010
  Messages: 10,180
  Likes Received: 895
  Trophy Points: 280
  hela inakatika balaa; hata kama unapiga mtandao wa aina moja.
   
 5. Kaa la Moto

  Kaa la Moto JF-Expert Member

  #5
  Jul 9, 2012
  Joined: Apr 24, 2008
  Messages: 7,666
  Likes Received: 164
  Trophy Points: 160
  Dawa ni kugomea simu
   
 6. Lunyungu

  Lunyungu JF-Expert Member

  #6
  Jul 9, 2012
  Joined: Aug 7, 2006
  Messages: 8,836
  Likes Received: 75
  Trophy Points: 145

  Very sad indeed .Mbaya zaidi ni kwamba kampuni za simu zimepandisha gharama kimya kimya and am sure TCRA wanajua na Makamba sijui yuko wapi
   
 7. commited

  commited JF-Expert Member

  #7
  Jul 9, 2012
  Joined: Feb 27, 2012
  Messages: 1,617
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 135
  nasema hivi... mtalalamika sanaaaaa.... adui wa maendeleo wa watz ni hii serikali..... hovyo kabisa hawa watu... ahyo majitu ya tcra yanalipwa mishahara kwa fedha zetu lakini hakuna chochote wanachofanya.. wapo ki 10% tu kwanza naskia hiyo tigo jk mwenyewe anahisa ya 40 % kama alivyofanya kwenye ile hoteli iliyojengwa na waarabu pale serengeti mbugani kabisa.... hakuna jipya kwa hii serikali... tutasema sana... lakini tusipokuwa kitu kimoja sisis kama watanzania.. tuaacha itikadi na matabaka ya kipato... hii serikali ni yakuitoa kwa gharama yaoyote ile.... haya majamaa ya simu yanatuibia mpaka basi fanya hesabu hii ndogo.. toka tigo.....
  tigo sasa wanawateja takribani 3 milioni tz nzima fanya watu 50000 tu wajiunge kwa siku na extreme tu (50,000 x 450)? kwa wiki ni sh... ngapi??? huku watu wanakatwa charges kwa tigo pesa unapotuma pesa.... huku bado kuna ile tariff ya sa 12 aasubuhi mpaka sa 4 usiku wanakata taarif ndefu kinyama..... haaa hiii ndio tz bana ni shmaba la bibi... wizi mwanzo mwisho... watu wanatuibia kama vile hatuna serikali... hivi niwaulize nini kazi ya tcra.. au wizara ya sayansi na teknolojia???je kuna impact yoyote ya hizi taasi kwa mtanzania??? je mkuu wa wilaya au mkoa... meya, mkuu wa wilaya??" mkurugenzi wanakazi gani???
   
 8. Mshawa

  Mshawa JF-Expert Member

  #8
  Jul 9, 2012
  Joined: Sep 6, 2011
  Messages: 711
  Likes Received: 52
  Trophy Points: 45
  Duh! kwa wiki tu ni millioni 157 na laki 5. ukiondoa kodi 18% wanachukua 129 millioni just a week. sasa nitaanza kutumia posta potelea mbali bora zichelewe ila ujumbe ufike kuliko niibiwe hivi.
   
Loading...