Tunakupongeza Dr.Kimei na CRDB KUTUKUMBUKA Nyanda za Juu. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Tunakupongeza Dr.Kimei na CRDB KUTUKUMBUKA Nyanda za Juu.

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Hakeem makamba, Jul 8, 2012.

 1. Hakeem makamba

  Hakeem makamba Senior Member

  #1
  Jul 8, 2012
  Joined: Apr 15, 2011
  Messages: 120
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 35
  Mughonile wanajamvi wenzangu.

  Mimi kama mkazi wa Mkoa wa Mbeya natoa pongezi zangu za dhati kwa Dr.Kimei na CRDB Bank kwa mchango wao wa zaidi ya Shillingi millioni 65 kusaidia ujenzi wa Chuo Kikuu cha Tumaini tawi la Mbeya. Huu ni uzalendo wa hali ya juu sana mliotuonyesha.Ni rahisi sana binadamu kuongea lakini ni wachache sana hutenda kama huyu bwana.

  Huyu bwana ameonyesha njia kwani Mikoa ya Mbeya, Rukwa, Njombe na Ruvuma imekuwa nyuma sana kwenye Elimu ya juu hivyo sisi tumefarija sana kwa mkono huu wa msaada. Ni wazi kuwa yeye na taasisi yake wangeweza kupeleka msaada huu sehemu yoyote nchini lakini wametuchagua sisi. Chuo hiki kitaleta changamoto mpya kwa mkoa wetu wa Mbeya na kanda nzima kwa ujumla. Mungu akubariki sana Mangi Kimei ili uendeleze moyo huu uzalendo ambao yamkini ni ndoto kwa viongozi wengi hapa nchini. Moyo huu uwashitue wengine waliolala kwenye usingizi wa madaraka na uwadhoofishe wote wenye kukutakia mabaya na kukusema ovyo. Blessed is the hand that Giveth.

  Fagilia Kimei, Fagilia CRDB.

  Ndaga fijo
   
 2. Gwangambo

  Gwangambo JF-Expert Member

  #2
  Jul 8, 2012
  Joined: Jun 30, 2012
  Messages: 3,655
  Likes Received: 85
  Trophy Points: 145
  Kwani Katoa mfukoni mwake? Na wewe mbona uko exited hivyo! zinapitia mikononi mwako nini ili uzifisadi!
  Utetesyeghe!
   
 3. Prodigal Son

  Prodigal Son JF-Expert Member

  #3
  Jul 8, 2012
  Joined: Dec 9, 2009
  Messages: 963
  Likes Received: 60
  Trophy Points: 45
  Mbona usimpongeze kwakutoa ajira kwa upendeleo
  hakuna anayeajiriwa pale kama hajuani/hakuletwa/nyumba ndogo ya mtu inatia huruma na kusikitisha saana

  anachokitoa ni makato ya wenye account na sio pesa zake, badala ya kuwa mbunifu na kutengeneza nafasi za ajira anachangia chuo kwanini wasijiulize wanafunzi wanaomaliza watafanya kazi wapi???vyuo ni vingi wanatoa watu ambao hawaajiriki na chakusikitisha nafasi za ajira hata hamna
   
 4. Gsana

  Gsana JF-Expert Member

  #4
  Jul 8, 2012
  Joined: Aug 28, 2010
  Messages: 4,387
  Likes Received: 348
  Trophy Points: 180
  nampongeza pia kimei, pia namshukuru kuwa mwajiri wangu enzi izo wakazi nimemaliza chuo, CRDB ndo iliyonifungulia maisha baada ya chuo... maneno ya akina prodigal son,ni maneno ya mkosaji...taasisi hii inaweza ikawa inaongoza ktk kutoa ajira ktk sekta za kbenki,na kila mwaka wanajiri wala hawaangalii jinsia,ukabila,dini wala undugu! ni sifa zako tu...ivi nyie mlalamao ni benki ipi zaidi ya CRDB inayotoa ajira nyingi?????mwaka jana wamechukua vijana 200, mwanzoni mwa mwaka huu wameajiri 100+ februari,ivi kweli hawa wote ni nduguze kimei?ivi ni benki gani wanaajiri kwa wingi ipi???at first nami niliambiwa maneno kama ayo bt later wakati nafanya kazi pale niliona wazi hamna cha kujuana ila tu ni sifa za mtu.....mpe mtu sifa zake wala si kutafuta mchawi,eti msaada itolewayo na benki ni makato ya akaunti,kwani kuna benki ambayo haikati?? y wasisaidie na wao??na yale mabasi ya wanafunzi waliyotoa dar ni makato yako prodigal son???nimewai kukuta tuhuma nyingi zinazohusu benki hii apa jf ila sikuchangia kwa kuwa zote zililenga kuichafua crdb, nikajua leo kwa CRDB kesho kwa taasisi nilipo sasa keshokuta taasisi nyingne ivo ivo watu wanaamua kuzusha tuuuuu! jamani mtu akifanya vyema msifie tu!!! ASANTE CRDB KWA KUIKUMBUKA ELIMU YA JUU!!!!
   
 5. SaidAlly

  SaidAlly JF-Expert Member

  #5
  Jul 8, 2012
  Joined: Jan 22, 2011
  Messages: 1,807
  Likes Received: 648
  Trophy Points: 280
  ............... panandi panandi!
   
 6. Return Of Undertaker

  Return Of Undertaker JF-Expert Member

  #6
  Jul 8, 2012
  Joined: Jun 12, 2012
  Messages: 2,378
  Likes Received: 8,537
  Trophy Points: 280
  Ni kweli kama GPA ya kuanzia 3.5 omba uone kama hujaitwa na wanakuuliza unapenda kufanya kazi wapi na wanakupeleka utakako.
   
 7. Gwangambo

  Gwangambo JF-Expert Member

  #7
  Jul 8, 2012
  Joined: Jun 30, 2012
  Messages: 3,655
  Likes Received: 85
  Trophy Points: 145
  Malafyale kulonda kuhijha panandi panandi!

   
 8. Kibanga Ampiga Mkoloni

  Kibanga Ampiga Mkoloni JF-Expert Member

  #8
  Jul 8, 2012
  Joined: Aug 9, 2007
  Messages: 14,600
  Likes Received: 1,678
  Trophy Points: 280
  Popompo wewe unakuja kushangilia Milioni wakati makamu wa Raisi amepewa 4 Bilioni za matumizi binafsi yani 11 Milioni kila siku.
   
 9. COURTESY

  COURTESY JF-Expert Member

  #9
  Jul 8, 2012
  Joined: Jun 16, 2011
  Messages: 2,018
  Likes Received: 67
  Trophy Points: 145
  Gsana nakupinga kwa nguvu zote kiuhalisia iyo bank wanaajiri kwa kujuana sana na ukabila haujifichi hata kidogo,umekithiri sana kuna watu lukuki hawana sifa kisa wanatoka moshi wamekula vitengo,please kimei badilika
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 10. Hakeem makamba

  Hakeem makamba Senior Member

  #10
  Jul 9, 2012
  Joined: Apr 15, 2011
  Messages: 120
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 35
  Nahisi wewe una mtindio wa ubongo. Akitoa makato sisi inatuhusu nn?sisi tunataka chuo kikuu Mbeya vijana wetu wasome, hayo mambo mengine hayatuhusu.,Msaada umetolewa kuboresha elimu ww unalalama kuhusu ajira, waache watoto waelimike pengine watajiajiri na kuajiri wenzao.Vyuo kutoa wahitimu ambao hawaajiriki si tatizo la Dr.Kimei kwahiyo tafuta new thread.Ajira za upendeleo pia ni hoja dhiafu kwa Benki yenye matawi zaidi ya 90 na staff zaidi ya 3000.All in all, mimi bado naishukuru CRDB na Kimei kwa mchango huu, wewe ukichagua kuwaponda ni hiyari yako.LABDA KWENU TAYARI MNAVYUO VYA KUTOSHA SISI MBEYA BADO TUNAHITAJI IWE KUTOKA KWA SUGU AU KIMEI.
   
 11. idawa

  idawa JF-Expert Member

  #11
  Jul 9, 2012
  Joined: Jan 20, 2012
  Messages: 18,544
  Likes Received: 10,482
  Trophy Points: 280
  amepewa na CRDB.?
   
 12. Jimjuls

  Jimjuls JF-Expert Member

  #12
  Jul 9, 2012
  Joined: Jun 10, 2011
  Messages: 461
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 35
  Ni wajibu wake (CRDB) kutoa kwani ni sehemu ya CSR....halafu isitoshe Bank yake ndio in issue mikopo kwenye vyuo vyote Tz...sasa iweje akose hiyo pesa?
   
 13. C

  CAY JF-Expert Member

  #13
  Jul 9, 2012
  Joined: Jan 20, 2011
  Messages: 501
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Ndiyo ufungue akaunti CRDB na ukakope na kununua hisa ili pesa zaidi zipatikane!
   
Loading...