DAWASCo Chief Executive Officer, Jackson Midala, acknowledged the problem but took no responsibility saying
it is no fault theirs rather he attributed it to what he called technical problems being...
Wakuu naombeni wale wanaofahamu majina ya kampuni za meli zinazotoa huduma kati ya tanzania bara na zanzibar mnitajie makampuni mengi kadri muwezavo wakuu.naomba kama unafahamu ata niandikie...
TANGAZO
MABORESHO YA UINGIZAJI UMEME KWENYE MITA ZA LUKU NCHINIShirika la Umeme Tanzania (TANESCO) linawatangazia wateja wake wanaotumia mita za LUKU, Shirika...
Habari nilizozipata na kuzifanyi uchunguzi zinaonyesha kuwa baada ya Walimu walio wengi kuondolewa katika zoezi la Sensa na kuwaweka vijana waliomaliza Chuo na wengine Form sita na St Kayumba...
Hata kama tunajilazimisha kuichukia Radio yake,maelezo anayotoa kuhusu harakati zake za kutafuta maendeleo yamenivutia sana.Kama wewe ni kijana kama mimi nashauri umcheki hapo udake mawili matatu...
Kwa kile ambacho sasa imeonekana dhahiri kuwa CCM inawafanya watanzania ni wajinga na wenye njaa kali, wamekuja na mbinu za kizamani sana kwa kuamua kuandaa nyama choma siku ambayo Chadema...
Katika swala zima la wavamizi haramu wa ardhi huenda Tamu na Chungu kushukia wakazi wa kimara safari hii, ni baada ya Serikali kuamua kuwakabili wa hamiaji haramu wa makazi na safari hii ni...
JICHO LETU LASHANGAZWA NA MAISHA YA WAPIGA KULA WA EDO August 23, 2012 by Pamela Mollel
TASWIRA YA AWALI AMBAYO JICHO LETU ILIJIONEA LILIPOKUWA LINAINGIA KATIKA KIJIJI...
Greetings, kwa mtu yyte alie Nzega au Tabora na Shinyanga Nauza Gari toyota corala 100. Ambayo naitumia kama tax mwenyewe sipo huko niliipeleka huko wakati napiga mzigo.kama unataka kuiona nenda...
Jimbo la kilosa anakotoka mh.Mkulo ccm laingia ktk hali ya kusikitisha sana kufuatia ubazilifu mkubwa wa mali za uma na vyombo vya dola.wananchi wapolwa ardhi yote na kujimilikisha viongoz na...
Wizara ya elimu na mafunzo ya ufundi ina ukiritimba katika upandishaji vyeo na kubadilisha muundo wa utumishi.kutokana na utekelezaji wa waraka namba 1 wa mwaka 2011 kuhusu kuwabadilisha kazi/...
Stendi ya Mabasi Mwenge
Uongozi wa Manispaa ya Kinondoni, jijini Dar es Salaam umesema kuwa wakati wowote kuanzia sasa utaihamisha stendi ya mabasi ya Mwenge na na kuipeleka Makumbusho.
Zoezi...
AFRICA
Below is a list of Recommended Natural Wonders of Africa. We invite you to discover, explore, and enjoy each of these natural wonders. Please vote to confirm these selections or nominate...
Hope you are doing fine . Thanks god i am doing fine on my side.
Sasa kuna jambo moja nataka nikueleze as u well know kwamba niko moro kuna kampuni ya ukusanyaji ushuru ya makumira filling...
WATU 10 WAMENUSURIKA NA WENGINE WAWILI HAWAJULIKANI WALIPO, ILIKUWA INATOKA ZANZIBAR KWENDA PANGANI.
Source: ITV
NOTE:
Nilianzisha thread kwamba nimeota meli imezama Zanzibar baada ya sikukuu...
Kama kuna karani wa sensa asijisumbue kwani anaweza kuwa katika wakati mbaya.
Wadau hapa wameamua kutohesabiwa kwa kuwa serikali imefikia hatua ya kuwaita sio raia kuwa ni wakimbizi katika nchi...
Nasikia kuna issue ya mababa wa mataifa, lakini sijawahi kusikia ma-Mama wa mataifa, Mbona hakuna Gender Balance. Mama wa taifa hili ni nani?:spy:
Samahani kama nimewaudhi, akina mama
Gazeti la Rai leo limeripoti hivo. Naona Membe ni bora ashinikize kufunguliwa kwa gazeti la sivo 2015 watamchafua maana ushaidi naskia upo. Ni kwamba anaogopa kigogo flani wa usalam akitoka pale...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.