Wachagga na misiba: kwa nini inafanyika bar?

masopakyindi

Platinum Member
Jul 5, 2011
17,857
13,140
Hebu kina, massawe, kimario, mushi, mosha,mwasha na Moshi mnijuze kwa nini misiba yenu mnapenda mipango ifanyie eneo la bar?

Sikiliza itv, redio one na utashangaa, wachagga wa massama,au mamba au mashati mipango ya mazishi inafanyika bar fulani jijini Dsm au kwingineko, kwa nini?(badala ya nyumbani kwa marehemu)
 
Wanapenda kule kupata ulabu na baadaye kukumbushia mila. Isitoshe wamilki wengi wa mabaa hasa Dar ni wachaga.

Hivyo huwa rahisi kukutana na kutozwa pesa kidogo ya kukodi au kutumia huduma za baa. Kwa upande wa wenye baa hupata wateja hivyo biashara kufanyika. Kufa kufaana. Watakonunua pombe sawa, watakaonunua nyama sawa na hata watakaonunua miwaya sawa.

Ila wanangu chunga sana kukumbusha mila ni mchezo wa hatari kwa sasa. Yethu.
 
Hebu kina ,massawe,kimario,mushi,mosha,mwasha na Moshi mnijuze
kwa nini misiba yenu mnapenda mipango ifanyie eneo la bar?
Sikiliza itv, redio one na utashangaa ,wachagga wa massama,au mamba au mashati mipango ya mazishi inafanyika bar fulani jijini Dsm au kwingineko,kwa nini?(badala ya nyumbani kwa marehemu)

Kwa kuwa kwao kila kitu ni biashara
 
  • Thanks
Reactions: uto
Bar kuna damu ya yesu! Maji ya baraka!

Duh mkuu naona unataka wazee wa upako wakuharibie siku. Ila jirani zangu (wakristo) wanaenda na wakati kweli mana hata misiba yao sikuiz unakuta mziki mkubwa umefungwa na kreti za bia za kutosha zimepangwa , baada ya miaka 15 ijayo cjui wataibuka na lipi jipya ili kwenda na wakati.
 
Hebu kina ,massawe,kimario,mushi,mosha,mwasha na Moshi mnijuze
kwa nini misiba yenu mnapenda mipango ifanyie eneo la bar?
Sikiliza itv, redio one na utashangaa ,wachagga wa massama,au mamba au mashati mipango ya mazishi inafanyika bar fulani jijini Dsm au kwingineko,kwa nini?(badala ya nyumbani kwa marehemu)

Kwa wale wasiokuwa na eneo kubwa kwenye makazi yao mfano sisi tuliopanga au tuna vijiplot vidogo tuu tunapokuwa na msiba tunalazimika kukutana sehemu ambayo (i) ina nafasi ya kutosha kukusanyika watu wengi na (ii) ni rahisi kufikiwa na ndugu, jamaa na marafiki tokea maeneo mbalimbali bila kupotea. Misiba kule nyumbani haifanyiki baa.

Sababu nyingine ni kuwa pamoja na kuwa tumetapakaa Tanzania nzima bado tunatambua Moshi/Rombo/Machame/Marangu/Kilema/OldMoshi kuwa ndio nyumbani na msiba ukitokea kilio kinakuwa nyumbani; hivyo kukutanisha waombelezaji kwenye makazi yetu huku mijini kutafanya kuwepo na kilio zaidi ya kimoja kwa marehemu mmoja.
 
Aisee Ndachua papaangu!
Sikubaliani kabsa kabsa na wewe aisee,
Kwa nini basi msifanyie mipango kanisani?
 
Aisee Ndachua papaangu!
Sikubaliani kabsa kabsa na wewe aisee,
Kwa nini basi msifanyie mipango kanisani?
masopakyindi huwezi kukutanisha watu kanisani nje ya utaraibu wa kanisa kunaweza ingiliana na ratiba nyingine kama ibada; lakini tunapokutana baa bado biashara ya pale inaendelea kama kawaida (Business As Usual)
 
Last edited by a moderator:
wachagga mmm !!!bado kidogo wataanza kutoa kadi za mazishi soon wait and see wanakokwenda
 
Moja, Nafasi za kuweza kutosha watu wote pamoja na parking za magari yao, mbili; wakikutana baa kunapunguza majonzi(kwa kupata mbili tatu...kwani mwanadamu akiwa na furaha ya jambo hupata mvinyo kujipongeza na akiwa na huzuni hupata mvinyo huo huo kujiliwaza) tatu; baadhi ya ramani za majumba ya watu zimekaa kushoto; nne; tafiti zinaonyesha watu wengi wakishapiga maji kidogo hunyoosha mikono yao ya birika...kwa maneno mengine ukishapiga maji laki unaiona kama elfu tano hivyo kwenye kupledge mambo yanakuwa swadakta..mwisho wa siku lengo la kusafirisha linatimia.
 
Haya bana mnajiliwaza bar na magari yakihuzunika parking!
 
Hebu kina ,massawe,kimario,mushi,mosha,mwasha na Moshi mnijuze
kwa nini misiba yenu mnapenda mipango ifanyie eneo la bar?
Sikiliza itv, redio one na utashangaa ,wachagga wa massama,au mamba au mashati mipango ya mazishi inafanyika bar fulani jijini Dsm au kwingineko,kwa nini?(badala ya nyumbani kwa marehemu)

chadema watakuwa wanahusikaaaaaaa
 
Kwanza inakuwa kama sherehe flani hivi,mnapanga mipango ya kusafirisha mwili bar,hapo watu wanazichanga za kutosha mnajadili huku mnachapa mchemsho, baada ya michango kukamilika kesho yake wa marhm unapelekwa nyumbani kuagwa kisha kanisani, au ibada inafanyikia hapo hapo, inakodishwa double couster ya ukweli yenye booster na sio spring nyuma.

mizigo na misosi yahaja ya kwenda kupika huko kijinini inapakiwa kwenye gari ndogo au hyo oster,hapo safari inaanza mida ya saa9 au 10 jion,hapo lazima ukute watu wamebeba lager za kopo na viroba katon za kutosha,mdogomdogo mnaingia mombo saa 5.

Hapo mnawekananga,hapo sasa mnakuta na mahalii wengine wanapandisha viroba milimani(maiti). Hapo mombo kwa siku sio chini ya gari 10 to 30 za misiba huwa zinapaki hapo, hapo usiku panakuwa kama mchana,ni nyama choma na biere kwenda mbele mnaondoka hapo watu wako nywiiiiiii! Na bado wanaongeza stok ya pombe za kunya kwenye msiba, mpaka mnafika mahali huko kijijini ni saa 12 asbh.

Hao ndio wachaga bana.
 
Kwanza inakuwa kama sherehe flani hivi,mnapanga mipango ya kusafirisha mwili bar,hapo watu wanazichanga za kutosha mnajadili huku mnachapa mchemsho,baada ya michango kukamilika kesho yake wa marhm unapelekwa nyumbani kuagwa kisha kanisani,au ibada inafanyikia hapo hapo,inakodishwa double couster ya ukweli yenye booster na sio spring nyuma.mizigo na misosi yahaja ya kwenda kupika huko kijinini inapakiwa kwenye gari ndogo au hyo oster,hapo safari inaanza mida ya saa9 au 10 jion,hapo lazima ukute watu wamebeba lager za kopo na viroba katon za kutosha,mdogomdogo mnaingia mombo saa 5. Hapo mnawekananga,hapo sasa mnakuta na mahalii wengine wanapandisha viroba milimani(maiti). Hapo mombo kwa siku sio chini ya gari 10 to 30 za misiba huwa zinapaki hapo, hapo usiku panakuwa kama mchana,ni nyama choma na biere kwenda mbele mnaondoka hapo watu wako nywiiiiiii! Na bado wanaongeza stok ya pombe za kunya kwenye msiba,mpaka mnafika mahali huko kijijini ni saa 12 asbh. Hao ndio wachaga bana.

Hapo red taratibu mkuu.....
 
Sio kwamba wanapenda kufanyia msiba bar...kwanza wanaangalia centre ya kufanyia hicho kikao pili kama msiba umetokea moshi hawawezi kukaa tena matanga hapa dar huwa matanga wananakaa moshi tuu...pia Urafiki social hall ni sehem muhimu sana huwa wachaga wengi wanapenda kufanyia hapo vikao vya misiba/harusi na vikao vya wachaga...asante...
 
Back
Top Bottom