Serengeti art group Lahamia CHADEMA-Arusha | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Serengeti art group Lahamia CHADEMA-Arusha

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Nanyaro Ephata, Aug 24, 2012.

 1. Nanyaro Ephata

  Nanyaro Ephata Verified User

  #1
  Aug 24, 2012
  Joined: Jan 22, 2011
  Messages: 979
  Likes Received: 182
  Trophy Points: 60
  Kundi maarufu la sanaa la Serengeti Art group la Arusha limehamia CHADEMA.Awali kundi hili lilikuwa chini ya ccm,lina jumla ya wanakikundi 49,ambao kati yao 40 watu wazima wanachama wa ccm,na 9 ni chini ya miak 18.Sasa kundi hili litahamashisha mabadiliko(M4C),kupitia sanaa mkoa wa Arusha
  Sambamba nao wanachama 90 wa ccm wamerudisha kadi na kujiunga CHADEMA,wamepokelewa na Mwenyekiti wa Mkoa Samson Mwigamba,akiwa pamoja na viongozi wengine wa Mkoa,Katibu Amani Golugwa,Mwenyekiti BAWACHA Cecy Ndossi na Mwenyekiti BAVICHA mkoa
   
 2. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #2
  Aug 24, 2012
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 309
  Trophy Points: 180
  Nanyaro,
  Eleza vizuri, hao wanachama wengine 90 wamehamia lini na wapi, na uweke picha.
  Tunataka taarifa ambazo mtu akitaka kuchallenge awe huru na isiwe ni jambo la ubabaishaji.
   
 3. O

  OMUSILANGA JF-Expert Member

  #3
  Aug 24, 2012
  Joined: Jan 25, 2012
  Messages: 384
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Huu ni mwanzo tu, lazima tuheshimiane kufikia 2015.
   
 4. B

  Bangoo JF-Expert Member

  #4
  Aug 24, 2012
  Joined: Nov 3, 2011
  Messages: 5,594
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 135
  Ashukuriwe Mungu kwa kila jambo, ukombozi wa taifa kutoka kwa hawa wakoloni weusi umewadia.
   
 5. DALLAI LAMA

  DALLAI LAMA JF-Expert Member

  #5
  Aug 24, 2012
  Joined: Jan 31, 2012
  Messages: 8,617
  Likes Received: 401
  Trophy Points: 180
  Waambie huku hatuna malipo baada ya kazi wala usafiri.tupo msituni kila mmoja na njia yake afu tunakutana mbele.
   
 6. Kashaijabutege

  Kashaijabutege JF-Expert Member

  #6
  Aug 24, 2012
  Joined: Oct 20, 2010
  Messages: 2,699
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 135
  Picha tafadhali. Source?
   
 7. m

  mamajack JF-Expert Member

  #7
  Aug 24, 2012
  Joined: May 21, 2012
  Messages: 1,162
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 135
  limekugusaaaa!lol!!!
   
 8. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #8
  Aug 24, 2012
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 309
  Trophy Points: 180
  We u mgeni hapa uyahudini!
   
 9. m

  mamajack JF-Expert Member

  #9
  Aug 24, 2012
  Joined: May 21, 2012
  Messages: 1,162
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 135
  aka!mwenzio wala si mgeni na wala si myahudi.unahamaki sana ukisikia wamerudisha kadi,wakati nape mwenyewe wala hana huo mda wa kushangaa maana anajua haya yatatokea.
   
 10. Ruttashobolwa

  Ruttashobolwa JF-Expert Member

  #10
  Aug 24, 2012
  Joined: Feb 22, 2012
  Messages: 43,747
  Likes Received: 12,834
  Trophy Points: 280
  Duuuuuuuuuuuh! Kweli huu ni upepo tu utapita au kimbunga?
   
 11. babalao 2

  babalao 2 JF-Expert Member

  #11
  Aug 24, 2012
  Joined: Apr 6, 2012
  Messages: 4,218
  Likes Received: 1,270
  Trophy Points: 280
  kumbe TANU ILIKUWA KIUMBE HAI.
  ILIOANA NA ASP WAKAMPATA MTOTO CCM NAYE AKAZAA WATOTO SASA NASIKIA MUDA WAKE WA KUFA UMEFIKA. KIFO HAKINA HURUMA.
   
 12. M

  Molemo JF-Expert Member

  #12
  Aug 24, 2012
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 13,287
  Likes Received: 580
  Trophy Points: 280
  Ashukuriwe Mungu
   
 13. bemg

  bemg JF-Expert Member

  #13
  Aug 24, 2012
  Joined: Apr 25, 2010
  Messages: 2,706
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 135
  upepo mkali wa M4C ni hatari kwa magamba
   
 14. Zogwale

  Zogwale JF-Expert Member

  #14
  Aug 24, 2012
  Joined: Jul 10, 2008
  Messages: 11,613
  Likes Received: 825
  Trophy Points: 280
  Jina la Bwana Yesu libarikiwe. Na hapo 2015 mambo yatawaka.CDM endeleeni kujiandaa na hakikisha kuanzia sasa mnaandaa laptop za kutosha na wasimamizi wenu wa kupokea matokea kila jimbo la uchaguzi Tanzania. Nina hakika wako watu watajitolea kufanya kazi hii ili kila mwakilishi wenu katika kituo anatuma majibu kwa sms na nyie mnaingiza tu excel. Nina imani Mh. Mnyika ile team yake itawapa elimu jinsi ya kufanya majumuisho faster. Kampeni CDM kwa busara hadi vijijiji ndani kabisa fanyeni. Na sisi tulio na ndugu vijijiji tuwajenge kisaikolojia wafanye mabadiliko. Nina hakika nikiwaambia ndugu zangu kabisa wafanya jambo kwa niaba yangu watafanya. Let us use every possible ways to clear the mess.
   
 15. MATESLAA

  MATESLAA JF-Expert Member

  #15
  Aug 24, 2012
  Joined: Aug 11, 2011
  Messages: 1,252
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Aiseee baba yangu hawa jamaa watachuana na captern comba kwenye campen 2105

  ngoja nigoje kibao watacho2nga cha cdm
   
Loading...