CCM yaanza kuwatumia Marais wa Vyuo kuhamasisha Kupitia Ofisi za PCCB | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

CCM yaanza kuwatumia Marais wa Vyuo kuhamasisha Kupitia Ofisi za PCCB

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Precise Pangolin, Aug 24, 2012.

 1. P

  Precise Pangolin JF-Expert Member

  #1
  Aug 24, 2012
  Joined: Jan 4, 2012
  Messages: 12,198
  Likes Received: 1,978
  Trophy Points: 280
  Chama Cha Mapinduzi jana kiliwaita Marais wote wa vyuo kwenye ofisi ya makao makuu ya kuzuia Rushwa na kuwaahidi vitu mbalimbali ikiwemo kazi wakimaliza masomo yao kwa masharti ya kuhamasisha wanafunzi huko vyuoni waikubali CCM .Kikao chenyewe kilifanyika Jana mida ya saa nne vyakula vilikuwa ni vya Nguvu hata kile chakula ambacho CCM hutumia kurubuni wananchi huko vijijini aina ya Pilau kilikuwepo
  Source: mimi mwenyewe Nilikuwepo
  My take
  CCM baada ya kuona mbinu za silaha pamoja na Propaganda za Udini hazilipi wameamua kuja na hiyo single mpya
   
 2. O

  OgwaluMapesa JF-Expert Member

  #2
  Aug 24, 2012
  Joined: May 24, 2008
  Messages: 10,948
  Likes Received: 45
  Trophy Points: 145
  muafaka ukawa nini,tupe news zaidi,vipi Hosea na Lilian walikwepo?
   
 3. only83

  only83 JF-Expert Member

  #3
  Aug 24, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 5,252
  Likes Received: 445
  Trophy Points: 180
  Kuipenda au kuikataa CCM ni jambo la mtu binafsi, ukweli ni kuwa hii haitasaidia.
   
 4. Head teacher

  Head teacher JF-Expert Member

  #4
  Aug 24, 2012
  Joined: Mar 10, 2012
  Messages: 1,811
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Kula CCM lakini Kura CDM
   
 5. Mwita Maranya

  Mwita Maranya JF-Expert Member

  #5
  Aug 24, 2012
  Joined: Jul 1, 2008
  Messages: 10,569
  Likes Received: 104
  Trophy Points: 145
  Kwahiyo Precise pangolin unakiri kwamba ccm wamekuhonga/wamekurubuni au wamejaribu kukufanyia jaribio la kukuhonga/kukurubuni kwa chakula maarufu cha pilau!!??

  Nyie wakiwaita nendeni mkawasikilize, wakiwapa pilau kuleni, wakiwapa khanga pokeeni, wakiwapa posho pokeeni lakini akili kumkichwa, mwaka 2015 hakuna kukosea mambo yote ni peoples power!!
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 6. Kakulwa P

  Kakulwa P JF-Expert Member

  #6
  Aug 24, 2012
  Joined: Feb 8, 2012
  Messages: 200
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Hiyo ni kweli na haijaanza jana CCM wanawatumia sana vijana wa vyuo, ni hakika maana mjomba wangu amemaliza mwaka huu naye aliahidiwa kutafutiwa kazi kwenye makampuni ya watoto fulani wa matajiri.
  lakini njia hiyo haiwezi kuwatoa kwenye hali mbaya, vijana hawa wanaenda kwa ajili ya dhiki lakini rohoni wanakumbuka machungu yaliyopo ktk familia zao.
   
 7. Mkulima wa Kuku

  Mkulima wa Kuku JF-Expert Member

  #7
  Aug 24, 2012
  Joined: Jan 13, 2011
  Messages: 1,259
  Likes Received: 81
  Trophy Points: 145
  Serikali legelege, chama legelege, watu wake legelege, hawajui cha kufanya zaidi ya mbinu chafu. Sasa naamini maneno ya wanaodai CCM ni chama cha majasusi na kazi yake kubwa ni ujasusi. wameshindwa siasa sasa wanafanya ujasusi. Kwa wanafunzi wa vyuo iwapo viongozi wenu wameahidiwa hayo yote na wamekubali, kazi mukichwa. Maana miaka yote serkali ya chama hichohicho inawanyanyasa, leo ghafla watabadilikaje wawe wema kwenu?
   
 8. i

  iseesa JF-Expert Member

  #8
  Aug 24, 2012
  Joined: Apr 3, 2012
  Messages: 944
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Je Nzoka na Mwema walikuwepo? TUJUZE
   
 9. Az 89

  Az 89 JF-Expert Member

  #9
  Aug 24, 2012
  Joined: Nov 20, 2011
  Messages: 1,613
  Likes Received: 120
  Trophy Points: 160
  Mkuu Precise Pangolin ...akili kumkichwa...Nape akili kumsaburi
   
 10. P

  Precise Pangolin JF-Expert Member

  #10
  Aug 24, 2012
  Joined: Jan 4, 2012
  Messages: 12,198
  Likes Received: 1,978
  Trophy Points: 280
  Mkuu Mwita Maranya ningekubali nisingeileta hapa hata wanipe nini nachukua halafu siwapi support
   
 11. Polisi

  Polisi JF-Expert Member

  #11
  Aug 24, 2012
  Joined: Nov 22, 2010
  Messages: 2,087
  Likes Received: 39
  Trophy Points: 145
  Kweli naichukia CCM kwa sasa lakini nachukia zaidi uongo
   
 12. Vin Diesel

  Vin Diesel JF Gold Member

  #12
  Aug 24, 2012
  Joined: Mar 1, 2011
  Messages: 8,402
  Likes Received: 738
  Trophy Points: 280
  mbona maelezo yapo juu juu utadhani unakimbizwa?
   
 13. Kigogo

  Kigogo JF-Expert Member

  #13
  Aug 24, 2012
  Joined: Dec 14, 2007
  Messages: 20,498
  Likes Received: 1,453
  Trophy Points: 280
  hahaa ccm nakupenda kwa moyo woteeeeee
   
 14. P

  Precise Pangolin JF-Expert Member

  #14
  Aug 24, 2012
  Joined: Jan 4, 2012
  Messages: 12,198
  Likes Received: 1,978
  Trophy Points: 280
  Sasa Mkuu unabishana na mtu ambaye alikuwepo hebu uliza kwa maraisi wa vyuo kama IFM UDSM CBE watakuambia yote hayo niliyosema
   
 15. P

  Precise Pangolin JF-Expert Member

  #15
  Aug 24, 2012
  Joined: Jan 4, 2012
  Messages: 12,198
  Likes Received: 1,978
  Trophy Points: 280
  Nilikuwa nakimbizana na Rushwa Mkuu
   
 16. m

  mamajack JF-Expert Member

  #16
  Aug 24, 2012
  Joined: May 21, 2012
  Messages: 1,162
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 135
  bora wasiwape hao marais chochote ila watoe mikopo 100% kwa kila mwanafunzi,maana ho marais wenyewe hizo sera za kuwashawish watazitoa wapi???
  mie naamini magamba hayana akili yanatumia mbinu rahis kwenye masuala magumu.
   
 17. Mtumishi Wetu

  Mtumishi Wetu JF-Expert Member

  #17
  Aug 24, 2012
  Joined: Oct 12, 2010
  Messages: 4,986
  Likes Received: 427
  Trophy Points: 180
  Mkuu waliopewa khanga Tshirt na kapero zimeisha chanika wenzao wanajenga maghorofa, tumia akili vijana!!!Mtu akishabikia CCM huyo ni kichaa au hamnazo, hao vijana wanatakiwa kuhamasisha wenzao ili kuondoa utawala huu wa kifisadi madarakani period!!!

   
 18. peri

  peri JF-Expert Member

  #18
  Aug 24, 2012
  Joined: Mar 22, 2011
  Messages: 2,588
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 145
  hahahaaa, umenichekesha sana kaka.
  Kumbe Watu mmemkariri lil?
   
 19. MATESLAA

  MATESLAA JF-Expert Member

  #19
  Aug 24, 2012
  Joined: Aug 11, 2011
  Messages: 1,252
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Aiseee baba yangu c c m wana2mia mbinu za kizamani rais wa udsm ni mmoja wanafunzi wapo zaid ya buku kumi baada iwarubuni wanafunzi inamrubuni m2 mmoja hama kweli hawa c c m wanaupepo kichwani

  ngoja niende porini nikakate majani
   
 20. Mandingo

  Mandingo JF-Expert Member

  #20
  Aug 24, 2012
  Joined: Sep 22, 2011
  Messages: 3,380
  Likes Received: 318
  Trophy Points: 180
  Yaani RUSHWA INA FANYIKA KWENYE OFISI YA KUZUIA RUSHWA???
  NYAMBAV KABISA PCCB-CCM,POLICCM NA USALAMA WA CCM!!!!
   
Loading...