Hoja: Kipi ni kibaya, wakili kuwatetea mafisadi au chama kumiliki mafisadi? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hoja: Kipi ni kibaya, wakili kuwatetea mafisadi au chama kumiliki mafisadi?

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Mzalendo Mkuu, Aug 23, 2012.

 1. Mzalendo Mkuu

  Mzalendo Mkuu JF-Expert Member

  #1
  Aug 23, 2012
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 738
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 35
  Ndugu wanajamii,
  Kumekuwa na upotoshaji wa "Kijinga na wa kupumbaza wasio na elimu" kuwa Marando Mwanasheria wa CHADEMA anatetea Mafisadi baada ya kumtetea Prof Mahalu. Hoja yangu ni kuwa, hao "MAFISADI" walioshitakiwa, wasioshitakiwa na wale wangine wanaotesa inajulikana kuwa ni WANACHAMA WA MAGAMBA (CCM). Kipi ni kibaya nchi hii, kumtetea anayesadikiwa kuwa ni fisadi au KUMMILIKI FISADI?
   
 2. J

  Jasusi JF-Expert Member

  #2
  Aug 23, 2012
  Joined: May 5, 2006
  Messages: 11,484
  Likes Received: 165
  Trophy Points: 160
  Wakili ni kama daktari. Lazima amtibu hata adui yake.
   
 3. m

  mamajack JF-Expert Member

  #3
  Aug 23, 2012
  Joined: May 21, 2012
  Messages: 1,162
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 135
  mabere marando piga kazi mzee, ndiyo profesional yako hiyo mzigo ni kwa hilo chama la magamba.kwa sababu nyinyiemu ni kichaka cha wezi na majambazi.
   
 4. MANGUNGO

  MANGUNGO JF-Expert Member

  #4
  Aug 23, 2012
  Joined: Aug 30, 2011
  Messages: 1,538
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 133
  Angemuuliza mbona Kikwete na Mkapa ndio walio mtetea kuwa hana hatia?Marando yupo kazini na ile huduma kama huduma bila kujali mtu,tatizo ni kwamba wanaoitwa mafisadi hawashitakiwi,,,wanaleta maigizo tu,haya sasa mkapa anaenda kutoa ushaidi kwa mlamba!!na yeye akiwa mtuhumiwa wa kiwira nchi viongozi wa ccm ni majizi hayafai hata kidogo,kibaya ni chama kutuzalishia mafisadi
   
 5. Abunwasi

  Abunwasi JF-Expert Member

  #5
  Aug 24, 2012
  Joined: Jun 25, 2009
  Messages: 3,166
  Likes Received: 1,064
  Trophy Points: 280
  Achana na hao "twits' marando ni professional na katika nchi hii 'ac accused person is deemed innocent until proven guilty.
  Watu kama hao wakiwa madaktari hawezi kumtibu mtu anayemchukia[adui] profession ya sheria iko hivyo na ndiyo maana watu 'ethical' ndiyo wanafaa na siyo kuvamia fani. A judge never lets his personal prejudice overule his decision.
  Waache wa mseme marando lakini hao hao wanapokuwa na kesi za kutuhumiwa wizi wanamfuata.
   
Loading...