Ushauri kwa anayefahamu wapendwa. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ushauri kwa anayefahamu wapendwa.

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by kichenchele, Aug 24, 2012.

 1. k

  kichenchele JF-Expert Member

  #1
  Aug 24, 2012
  Joined: Jun 28, 2010
  Messages: 521
  Likes Received: 61
  Trophy Points: 45
  Ndugu zangu naombeni kufamamishwa kama kuna taasisi zinazosomesha au kusaidia wanafunzi ambao wanatoka ktk familia masikini au wale amabo wameondokewa na wazazi wao wote( yatima) na hawana msaada wa kuwawezesha kukamilisha ada zao, mathalani anatakiwa aongezee milioni 2 baada ya kulipiwa milioni 3 na serikali kupitia board ya mkopo, hebu mwenye kulifahamu hili aweke wazi hapa ili tuweze kusaidiana maana makundi ya hawa watu ni mengi,
   
Loading...