Hivi kwani Wafugaji sio wananchi? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hivi kwani Wafugaji sio wananchi?

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Msendekwa, Aug 24, 2012.

 1. M

  Msendekwa JF-Expert Member

  #1
  Aug 24, 2012
  Joined: Mar 11, 2012
  Messages: 440
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Leo gazeti La Mwananchi lina habari yenye kichwa cha habari:
  "Mfugaji amshambulia Mwananchi na kumjeruhi"
  Kilichotokea ni kuwa huyu mwenye mifugo(Mfugaji) aliingiza mifugo yake kwenye bustani ya mkulima(Mwananchi),
  na alipojaribu kuwaondoa, ndo mfugaji akamshambulia na kumjeruhi.
  Concern yangu hapa ni kwani nini huyu mkulima akaitwa mwananchi?
  Kwani yule mfugaji sio mwananchi?
  Au hili gazeti limeamua kuwafanya wafugaji ni wageni na raia wa daraja la 2, na wakulima ndo raia daraja la kwanza, wenye haki za kuwa "wananchi?"
   
Loading...