Naomba msaada kujua jengo hili ni la nani Masaki

rugumye

JF-Expert Member
Nov 1, 2010
561
178
Masaki kuna jengo moja kubwa linajengwa ghorofa 7, kibao cha client mwanzo kiliandikwa JK, wiki mbili sasa kimebadirishwa kinasomeka MRISHO. Ni Mrisho Mpoto au? tunaomba msaada kutoka kwa wahandisi je ni sawa kuandika vifupisho vya majina?
 
Tuwekee jina la Architect au project manager wa hilo jengo, inaweza kusaidia kupata details za huyo "client" kwa urahisi!
 
umesema mwanzo jina lilikuwa JK lakini sasa jina limebadilishwa na linasomeka: Mrisho. Mbona mtu ni yule yule?
 
find something better to write!! wewe ndio ulipita masaki, wewe ndio uliona jengo, wewe mwenyewe uka monitor na kuona jinsi vibao vya construction details jinsi vinavyobadilika sasa unataka tukujuze nini? go to the construction company n ask alafu tuletee jibu. how jk`s or mrisho`s do u know¿¿¿ juma kassim mrisho....go to hell¡¡¡¡
 
Pia kupunguza longolongo angekuwa alilipiga picha ndo akabandika hapa watu wakadadavua with all infos there kama achitecture,engineers nk
 
Dah!! naamini jibu unalo ila unataka uhakika wa kile unachokifahamu, sasa Buluuu na nyekundu hapo ukiunganisha sii ni details tosha umeshajua ni jengo la nani? labda subiri baada ya wiki 2 tena watabadilisha waweke majina kamili
Masaki kuna jengo moja kubwa linajengwa ghorofa 7, kibao cha client mwanzo kiliandikwa JK, wiki mbili sasa kimebadirishwa kinasomeka MRISHO. Ni Mrisho Mpoto au? tunaomba msaada kutoka kwa wahandisi je ni sawa kuandika vifupisho vya majina?
 
Ukitaka kupata msaada wa haraka wa kujuzwa mambo, nenda kalipige picha jengo husika na hicho kibao chenye jina na yale maandishi mengine then lete hapa haraka, dukuduku lako litapata jibu mara moja. Hela zetu nyingi zipo mtaan ni lazima tupambane kuzidhibiti na kuzilinda, msikatishwe na tamaa na wanaosema mna majungu, et ukishajua utafanya nin!? Mliwachagua hao watu wawatumikie sio wawaibie, mshahara/Biashara gan Ikulu, Jengo gorofa saba..!!? RUGUMYE achana na wanaokupinga, nenda kalete picha..!
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom