Tamasha la fiesta na hela zinazopatikana-clouds media

kichenchele

JF-Expert Member
Jun 28, 2010
539
176
Wadau mm naomba tu kufahamishwa umuhimu wa hili tamasha kufanyika kila mwaka, na kama hawa clouds media wanahaki peke yao kuendesha tamasha hili na je kwa tathmini ya haraka haraka wanaweza kuwa wanaingiza kiasi gani cha fedha baada ya kuzunguka nchi nzima, na je mrejesho huwa ukoje kwa makundi yenye mahitaji maalumu, na mwisho huwa yanakatwa kodi?
 
Back
Top Bottom