Hizi pub zinafikia kiwango?

Comi

JF-Expert Member
Oct 2, 2011
3,328
955
Hapa jiji arusha kwa sasa karibia kila mtaa kumeanzishwa pub na zingine hazina vyoo, je watoa leseni wa uanzishwaji wa pub hizo wanazingatia sheria na viwango vya kuidhinisha ufunguaji huo wa pub? Na je nini faida na hasara zake kwa baadae?
 
Sio suala la baadaye tuzungumzie athari za sasa ambapo bila choo wateja wanafanyaje zaidi ya kuchafua mazingira?
Kupitia rushwa hakuna kinachoshindikana ndio maana leseni zinatolewa mezani bila kuzingatia kwamba kama kuna viwango vya leseni au la, hii ndio bongo tambarare.
 
It is free enterprise your know. Howe ever do you know something about" Law of diminishing returns'??
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom