Dc kibaha amuweka mwalimu rumande ni mambo ya sensa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Dc kibaha amuweka mwalimu rumande ni mambo ya sensa

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Kiumbo, Aug 24, 2012.

 1. K

  Kiumbo JF-Expert Member

  #1
  Aug 24, 2012
  Joined: Feb 4, 2012
  Messages: 561
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  DC wa kibaha Halima kihemba jana mchana ktka kutembelea maeneo yao ya sensa huko wilayani kibaha vijiji mlandazi, mwalimu huyo kama karani mwandamizi alichelewa kufika eneo la kuhesabia kama ilivyopangwa na hakuwa na mawasiliano hivyo kufanya waratibu wa sensa kupata taarifa na wakati huo DC alikuwepo kwenye kituo cha sensa na kutoa amri mwalimu atafutwe haraka. Mida ya saa nne asubui jana mwalimu aliwasili kwenye kituo hicho na ndipo DC huyo alipo mpakiza kwenye gari lake mpaka kituo cha polisi mlandizi. Mpaka sasa hatujui hatima ya mwalimu huyo. Mbona DC alichukua hatua hiyo je ni halali? Kugagua maeneo ya kuhesabia ni siku tatu kwa makarani wa sensa wote. Iweje DC huyo achukue sheria kisa alikuwa amekimbia kazi ya serikali. Huruma sana.
   
 2. MAVUNO

  MAVUNO JF-Expert Member

  #2
  Aug 24, 2012
  Joined: May 29, 2011
  Messages: 334
  Likes Received: 47
  Trophy Points: 45
  Atakamatwa mpaka baba riz ,maana nasikia haesabiwi
   
Loading...