Kova unalipi la kutuambia juu ya dr.ulimboka??????? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kova unalipi la kutuambia juu ya dr.ulimboka???????

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by kichenchele, Aug 24, 2012.

 1. k

  kichenchele JF-Expert Member

  #1
  Aug 24, 2012
  Joined: Jun 28, 2010
  Messages: 521
  Likes Received: 61
  Trophy Points: 45
  Nikiwa nimefungulia radio free africa( rfa) kipindi cha watanzania tuongee magazeti, asbuhi saa 12 na 30, niliweza kusikia kwamba leo tarehe 24/08/2012. Kamanda wa polisi suleiman kova ataongea juu ya kutekwa na kuteswa kwa dr.steven ulimboka na hali ya kiusalama mkoa wa dar-es-salaam,

  kamanda kova inafika wakati ufanye kazi kwa ueledi na si kugeuka kuwa mpayukaji kama mbayuwayu, ni nani asiyefahamu sakata zima la kutekwa na kuteswa kwa doctor huyu? Kuna utofauti upi na taarifa zako za awali ulizozitoa kupitia vyombo vya habari juu ya sakata hili? Tuambie habari unazokuwa unazitoa ktk vyombo vya habari huwa unazipitia kwanza na kupima uzito wake kabla hujazotoa ? Na hao wanaokuletea taarifa za uchunnguzi wanafanya kazi kwa weledi?, je jeshi lako lipo kwa kuwatumikia watu gani? Unajuwa thamani ya askari wako kwa sasa mbele ya jamii? Unafahamu gazeti la mwanahalisi lilifungiwa kwa makosa yapi? Na je ulilisoma toleo la mwisho ambalo lilipelekea kufungiwa? Na kama ni ndiyo yaliyoelezwa humo ni tofauti na unachokujakutuambia leo? Ni hayo tu kamanda,
   
 2. C

  Chiya Chibi JF-Expert Member

  #2
  Aug 24, 2012
  Joined: Jul 6, 2011
  Messages: 485
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Labda anataka Dr Ulimboka amsikie, mana mwanzon hakumsikia coz hakuwepo. Pili, huenda anataka kutupa report ya tume ya uchunguz iliyoundwa na watekaji. Tatu, huenda anataka kulionyesha Mwanahalisi kuwa, lilimpa ugumu wa hali ya juu kuficha ukweli kama alivyotumwa na wakubwa wake wa kazi..! Na mwisho, huenda anataka kutujaribu wananchi aone kama tumesahau au bado tunalikumbuka swala hilo, na kama tunalikumbuka afanyeje ili tusahau!!!!!!!!!!
   
 3. k

  kichenchele JF-Expert Member

  #3
  Aug 24, 2012
  Joined: Jun 28, 2010
  Messages: 521
  Likes Received: 61
  Trophy Points: 45
  anatakiwa kufahamu kama hajui au kukumbushwa kama kasahau ya kwamba watanzania wa leo si wale wa zidumu fikra za mwenyekiti, we know each n everything what happened, how it happened, who participated in the whole scandal.
   
 4. u

  ureni JF-Expert Member

  #4
  Aug 24, 2012
  Joined: Jun 14, 2011
  Messages: 1,272
  Likes Received: 230
  Trophy Points: 160
  Hapo kwenye nyekundu alishasema hazungumzii suala lililopo mahakamani
   
 5. k

  kichenchele JF-Expert Member

  #5
  Aug 24, 2012
  Joined: Jun 28, 2010
  Messages: 521
  Likes Received: 61
  Trophy Points: 45
  sawa lakini kama issue nzima ya ulimboka iko mahakamani hatakiwi sasa kulizungumzia, aiachie mahakama juu ya huyo mtuhumiwa aliyejipeleka kwa Mch. Gwajima, yeye aongelee tu mambo mengine
   
Loading...