Mwanahabari huyu aombewe | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mwanahabari huyu aombewe

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by M4C ARUSHA, Aug 22, 2012.

 1. M

  M4C ARUSHA Member

  #1
  Aug 22, 2012
  Joined: Apr 27, 2012
  Messages: 38
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hivi sasa tupo kwenye m4c tukiamini waandishi wa habari ndio nguzo pekee katika kulifanikisha hili lakini Kilimanjaro hali sio hivyo mmekuwa ni watu wa majungu,fitna,kazi kubwa ni kuaibishana kwenye mitandao hi indo kazi?wakati nikiwa moshi miaka hiyo nikiwa na watu kama kina chale ndagula,nirafiki yangu sana ecton chuwa na kazi zake ,bwana mdogo mjema dan,ndugu yangu mzee wa kiroro nech ndugu yangu temba senior dada yangu tuliyotokea sehemu moja salome mambo yalikuwa ni mzuri sana.


  Lakini hebu fanyeni utafiti tena hili ni darasa la bure mchunguzeni mtu anayeitwa Charles ndagula ndio mtambo wa majungu na kamwe hamtafika mbali kuweni wamoja ili tuweze kuleta mabadiliko katika taifa hili
  Msimwogope mpeni live bila chenga la sivyo mtaendelea kuwa na migogoro isiyo na tija na mwisho wa siku hamtaweza kuyaona mabadiliko


  Tukiwa moshi ndagula alishawahi kusema kuwa hajawahi kufika ofisi ya Tanzania daiama kisa anataka usenior lakini hata nyumbani kwao ingawa ni mwaka wa 21 sasa tutampeleka ikibidi ili mambo yaweze kuwa mazuri zaidi akaombewe
  Alishawahi kuchangisha fedha eti tena kwenye ajali yam v bukoba lakini fedha alienda kununulia koti la leather na kuishia same bila yakufika mwanza,kama haitoshi alishakusabnnya rambi rambi ya mareheme mbelege akanunulia dishi na tv na kulipia mahari ya mke


  Wanahabari kilimajaro msaidieni huyu kijana ana laana na atataka kufa na nyie
   
 2. nyabhingi

  nyabhingi JF-Expert Member

  #2
  Aug 22, 2012
  Joined: Oct 12, 2010
  Messages: 10,893
  Likes Received: 5,346
  Trophy Points: 280
  huu ujumbe unaenda kwa waandishi wa habari au nani?na wewe ni mwandishi au?unalialia bila ushahidi wa kutosha,kwa ufupi hujaniconvince,jipange njoo tena...aaaarrrgggghhh
   
 3. M

  Mgengeli Senior Member

  #3
  Aug 22, 2012
  Joined: Sep 23, 2011
  Messages: 193
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  ungeenda MISA TAN
   
 4. B

  Bwaga ya moyoni Senior Member

  #4
  Aug 22, 2012
  Joined: Aug 21, 2012
  Messages: 151
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Hapa tunajadili hoja bwana M4C Arusha. Hatujadili watu. Inaonekana kabisa wewe ndio mwenye tatizo kwani kama unawajua hao watu, yanini kuyazungumzia hapa jamvini? Nenda kawaone na ukazungumze nao. Tutakuona shujaa wakweli.
   
 5. Elli

  Elli JF-Expert Member

  #5
  Aug 22, 2012
  Joined: Mar 17, 2008
  Messages: 26,816
  Likes Received: 10,106
  Trophy Points: 280
  Sijaambulia hata moja Mpwa
   
 6. snowhite

  snowhite JF-Expert Member

  #6
  Aug 22, 2012
  Joined: Aug 2, 2012
  Messages: 14,174
  Likes Received: 2,136
  Trophy Points: 280
  bahati mbaya unafanya the same thing!hapa sijaona tofauti yako na huyo charles .
   
 7. Vinci

  Vinci JF-Expert Member

  #7
  Aug 24, 2012
  Joined: Jul 6, 2009
  Messages: 2,642
  Likes Received: 120
  Trophy Points: 160
  Hili bandiko lako nalo ni majungu......sasa mwenye majungu ni huyo charles au ni wewe M4C?
   
Loading...