Wadau nimemwambia jamaa yangu kwamba nimeanza kujenga mbezi na niko katika hatua nzuri tu hata kama nikitaka kuhamia mwisho mwa mwaka huu. Alichonijibu ndicho kilichoni acha hoi eti nikihamia...
Katika pitapita zangu katika vijiji vya mkoa wa mbeya wilaya ya momba.nimekutana na mzee mmoja akiwa amekamatwa na vyombo vya dola huku akiwa amezingilwa na kundi la vijana kwa kuwatishia kuwaua...
Nauliza hivi, kwanini serikali inashindwa kumwagilia barabara za jijini DSM ili kuondoa na kupunguza vumbi njiani?
Nani anahusika hasa na ina maana haya mawazo hayapo kichwani mwake? Ina maana...
Kupitia mtandao huu wa kijamii ni wazi,watu wengi wananufaika hasa mpangilio mzuri wa majukwaa. Shida na maswali mbalimbali yamekuwa yakipatiwa ufumbuzi kwa njia tofauti. Nadhani yote mazuri...
Toka kumenzishwa huu ukumbi pale mbagala zakhiem kumekuwa na kelele nyingi sana za muziki ambazo hutusumbua sana sisi wakaazi wa mbagala usiku wakati wa kulala kwa kweli naomba serikali ya mtaa...
Sipendi kuwa mnafiki wala kuitwa mbeya
kwa kweli kwanza naomba niwape pole kwa familia ya mh capt J. Yamungu
ni huzuni kubwa kuondokewa kwa unaempenda ....ni wakati muhimu sasa
familia kuwa kitu...
Kwenye kuguna tugune, panapochukiza tuseme na panapofurahisha tupige makofi. Mwakyembe keshaonyesha njia ya kung'oa visiki kama ifuatavyo.
1. PAUL CHIZI-ATCL
2. WILLIAM MHANDO-Tanesco
3. CHARLES...
Wa kwetu akitembelea miradi yake huko Msoga, Chalinze, Mkoa wa Pwani!
Wa wenzetu akiwajengea watu wake nje kidogo ya Kigali!
Source: www.zanzibarnikwetu.blogspot.uk.co
Nimechekesana JK alivyosema kuna watu wanagomea sensa mpaka mjusi na mifupa ya binadamu wa kale irudi,hivi ni akina nani hao?au JK kawadanganya wananchi?
Wadau wa Chadema jimbo la Lushoto na Tanzania kwa ujumla hususani Wanawake na viongozi wa BAWACHA napenda kuwapa pole kwa msiba ambao umempata mwenyekiti wa BAWACHA JIMBO LA LUSHOTO BI.ZALIHINA...
Habari wa ndugu,
Kama kichwa cha habari kilivyosema hapo juu, nimeamua kuweka ANGALIZO hili ikifuatiwa na attachment, yamkini jambo hili lilishazungumziwa hapa, lakini si mbaya nikarirudia kwa...
Baada ya kusubiri kwa miaka kumi hatimaye imebakia masaa 48 tu kuhesabiwa ili serikali ipate takwimu inazohitaji. Nikiwa kama raia mwema wa Tanzania nimejiandaa vya kutosha kuhesabiwa na ninao...
MOTO umeibuka mchana wa leo katika nyumba mbili zilizopo eneo la Goig Mbezi Beach , jijini Dar es Salaam, jirani na ofisi za Seven Estate Agent na kuteketeza sehemu kubwa ya nyumba hizo na...
Wadau wa JF napenda kuwafahamisha kwamba bibi yangu mwenye umri wa takribani miaka 78 amepotelea maeneo ya KAWE leo saa 11 jioni alipokuwa akienda kwa mjukuu wake anayeishi maeneo hayo. Bibi...
Muda mchache uliopita nilikuwa natoka KIA naelekea A Town, nikampa lift askari mmoja wa usalama barabarani ndipo nikaipata hii habari, kuwa jeshi la polisi nalo limepewa lengo la kukusanya mapato...
Kutokana kambi ya Mh Batilda Buriani iliyokuwa ikisaidiwa na Mh. Lowassa kuisambaratisha kambi ya aliyekuwa mbunge wa kipindi kilichopita Mh. Felix Mrema, CCM Arusha inaonyesha kutokuwa na nguvu...
Ask Mkombo aliyeteka waandish Nipashe ameaga kwamba anakwenda Bagamoyo sasa hivi yupo na Mke mdogo.Taarifa zinaonyesha anaelekea Morogoro Road na kule Mby kuna watu wanajianda kumpokea!Kunahofu...
Utakuta mtu katoka Kwenye family ya kimaskini mno akija USA anaanza kushindana na watoto ambao familia Yao inauwezo as a result wivu wa watoto wa familia za kimaskini wanaanza vita ya maneno na...
Mauwaji ya kutisha yamefanyika katika kijiji cha Baranga wilaya ya musoma vijijini kata ya buswahili tarafa ya kiagata baada ya watoto wawili wa familia moja wakiwa na umri wa miaka 5 na 7 baada...