Simba Mkali
JF-Expert Member
- Jan 31, 2012
- 620
- 243
Wadau nimemwambia jamaa yangu kwamba nimeanza kujenga mbezi na niko katika hatua nzuri tu hata kama nikitaka kuhamia mwisho mwa mwaka huu. Alichonijibu ndicho kilichoni acha hoi eti nikihamia Mbezi lazima nivamiwe na majambazi mara tatu. jamani kuna mwenye ukweli wa jambo hili?