SENSA IPITE MAENEO yote ya nchi yetu. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

SENSA IPITE MAENEO yote ya nchi yetu.

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by mizambwa, Sep 4, 2012.

 1. mizambwa

  mizambwa JF-Expert Member

  #1
  Sep 4, 2012
  Joined: Oct 8, 2008
  Messages: 4,409
  Likes Received: 569
  Trophy Points: 280
  Zoezi la kuhesabu watu (SENSA) limeongezewa muda wa wiki moja baada ya kugundua kuwa kuna baadhi ya maeneo hayajafikiwa.

  Napenda kuwakumbusha kuwa ili kupata takwimu halisi ya Watanzania ni muhimu kupitia kila sehemu.

  Maeneo ambayo nina hofu nayo ni Mabondeni ambamo wananchi wake walihamishiwa MABWE PANDE lakini kuna baadhi wamebaki, Madale ambako Jeshi la Polisi na Uongozi wa Manispaa ya Kinondoni waliendesha zoezi la Bomoa Bomoa, na maeneo mengine yenye utata wa kimakazi.

  Je, kwa mlio na taarifa maeneo haya yenye utata wa kimakazi yamefikiwa na watu wa SENSA????  MIZAMBWA
  INANIUMA SANA!!!
   
Loading...