Ni kweli Polisi wapo kwa manifaa ya CCM?

Kibunango

Platinum Member
Aug 29, 2006
8,425
2,274
Imefika wakati wa kujiuliza mara mbili mbili kama kweli Jeshi la Polisi lipo chini ya maslahi ya CCM

Ni vema tukaangalia kwa kina juu ya utendaji wa jeshi hili na hali halisi ya mwananchi wa kawaida hapa TZ, huku tukijiuliza nafasi ya jeshi hili katika usalama wa jumla kwa wananchi!

Hivi ni kweli kama Jeshi hili linatumikia utawala wa CCM ama litaumia utawala huo kwa manufaa yao binafsi !

Kisiasa, na kiuutu, Ni kweli CCM ipo tayali kuona wananchi wa Tanzania wakiuliwa pasipo sababu yoyote ile?

Hivi Rushwa katika jeshi hilo imefikia hatua gani, kiasi cha kukosa utu?

Jeshi hili lina tuhuma nyingi ya kibabe, wizi na rushwa! Hii inamaanisha kuwa linaweza kununuliwa na mtu/asasi/jumuiya/chama n.k! Nini kifanyake ili kurudisha imani katika jeshi hili?
 
Back
Top Bottom