Kwanini tunyamaze

mapanga3

JF-Expert Member
May 1, 2012
665
633
Jeshi la polisi nchini limezidisha uonevu kwa raia badala yakuwarinda na mali zao. Limekuwa likilalamikiwa ktk uonevu mwing bila viongozi wa juu kuchukua hatua yoyot dhidi yao. Wanaomba nakupokea rushwa hadharan, wanazidi kwenda mbele sasa wameanza kuua raia bila hatia. Tunakwenda wapi wa tz? Mbona damu isiyo na hatia inalia kwa nguvu, ole wao! Wa tz hivi 2na aman au tuwajinga.kama tutanyamazia haya Mungu atatushangaa!
 
Back
Top Bottom