Wakazi wa Madale waliobomolewa kulipwa kwa amri ya Rais | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wakazi wa Madale waliobomolewa kulipwa kwa amri ya Rais

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Mwanaharakatihuru, Sep 3, 2012.

 1. M

  Mwanaharakatihuru JF-Expert Member

  #1
  Sep 3, 2012
  Joined: Mar 21, 2012
  Messages: 479
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  habari nilizozipata kutoka kwenye chanzo cha uhakika Mkuu alitembelea Madale siku ya ijumaa kabla ya safari na kuwaeleza wakazi wa madale Ujenzi ruksa kuendelea na ujenzi, na waliobomolewa walipwe.
   
 2. Asprin

  Asprin JF-Expert Member

  #2
  Sep 3, 2012
  Joined: Mar 8, 2008
  Messages: 51,050
  Likes Received: 23,820
  Trophy Points: 280
  Mkuu wa nini sasa?
  Mkoa?
  Wilaya?
  Chuo?
  Shule?
  Nchi?
  Familia?
   
 3. sweetlady

  sweetlady JF-Expert Member

  #3
  Sep 3, 2012
  Joined: Dec 24, 2010
  Messages: 16,982
  Likes Received: 82
  Trophy Points: 145

  Sio kweli !
   
 4. sweetlady

  sweetlady JF-Expert Member

  #4
  Sep 3, 2012
  Joined: Dec 24, 2010
  Messages: 16,982
  Likes Received: 82
  Trophy Points: 145
  Mkuu wa shule ya msingi madale!
   
 5. Mzee wa Rula

  Mzee wa Rula JF-Expert Member

  #5
  Sep 3, 2012
  Joined: Oct 6, 2010
  Messages: 8,177
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145
  Habari nusu nusu hazina stimu kabisa.
   
 6. Asprin

  Asprin JF-Expert Member

  #6
  Sep 3, 2012
  Joined: Mar 8, 2008
  Messages: 51,050
  Likes Received: 23,820
  Trophy Points: 280
  Mkuu salama? Kibaridi kishapungua nitie timu mitaa hiyo?
   
 7. peri

  peri JF-Expert Member

  #7
  Sep 3, 2012
  Joined: Mar 22, 2011
  Messages: 2,588
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 145
  bora ungetuandikia hadithi tukasoma kuliko kuandika hbr nusunusu.
   
 8. Asprin

  Asprin JF-Expert Member

  #8
  Sep 3, 2012
  Joined: Mar 8, 2008
  Messages: 51,050
  Likes Received: 23,820
  Trophy Points: 280
  hehehehehe!
  Life without problems never make a strong and good person!
   
 9. M

  Mkwe21 JF-Expert Member

  #9
  Sep 3, 2012
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 1,843
  Likes Received: 461
  Trophy Points: 180
  Kwani alikuwa wapi muda wote wakati waaribifu wanafanya Kazi yao? Hadi aanze sasa Kutapanya kodi zetu Badala ya kununua Vifaa vya Kutibu Watanzania Mahosipitalini? - Ni sawa na Kuchukua hela za walipakodi na kuanza Kuzitapanya na Nyingine Kuchoma Moto!! au ni Bora akawalipe wazee wa East Africa Community wa zamani!!
   
 10. Hewa mkaa

  Hewa mkaa JF-Expert Member

  #10
  Sep 3, 2012
  Joined: Sep 3, 2012
  Messages: 713
  Likes Received: 280
  Trophy Points: 80
  Hawa jamaa mbona wanagongana sana kwenye maswala ya msingi. Tulianza na Samwel Sita na Membe wakaitangazia vita Malawi lakini Mkuu aka nagate. Pale Madale, Sadiq akasema wakazi wa kule ni Mungiki wengi wao raia kutoka nje lakini tunaona Mkuu anatokea kivingine. BHAAAS!
   
 11. Z

  ZeMarcopolo JF-Expert Member

  #11
  Sep 3, 2012
  Joined: May 11, 2008
  Messages: 13,589
  Likes Received: 480
  Trophy Points: 180
  We unafanya utani wakati wenzako wamepoteza makazi!!!
   
 12. Mzee wa Rula

  Mzee wa Rula JF-Expert Member

  #12
  Sep 3, 2012
  Joined: Oct 6, 2010
  Messages: 8,177
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145
  Kibaridi kimepungua wewe njoo tu, mambo yote yakakuwa 100 100.
   
 13. sweetlady

  sweetlady JF-Expert Member

  #13
  Sep 3, 2012
  Joined: Dec 24, 2010
  Messages: 16,982
  Likes Received: 82
  Trophy Points: 145
  Hehehehehe umeonae?
   
 14. M

  Mwanaharakatihuru JF-Expert Member

  #14
  Sep 3, 2012
  Joined: Mar 21, 2012
  Messages: 479
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  kama hutaki acha hizi ni habari za uhakika kabisa nashangaa vyombo vya habari hawajaandika
   
 15. M

  Mwanaharakatihuru JF-Expert Member

  #15
  Sep 3, 2012
  Joined: Mar 21, 2012
  Messages: 479
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  wadau wanasubiria mkwanja wao tu huku unasema mkuu sio msikivu hili kasikia
   
 16. sweetlady

  sweetlady JF-Expert Member

  #16
  Sep 3, 2012
  Joined: Dec 24, 2010
  Messages: 16,982
  Likes Received: 82
  Trophy Points: 145
  Ndio nimeacha kweli afu liwalo na liwe.
   
 17. Pinokyo Jujuman

  Pinokyo Jujuman JF-Expert Member

  #17
  Sep 3, 2012
  Joined: Feb 5, 2012
  Messages: 553
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mmmh hivi Samweli Sita naye alitoa TAMKO juu ya mgogoro wa MALAWI????
   
 18. Vinci

  Vinci JF-Expert Member

  #18
  Sep 3, 2012
  Joined: Jul 6, 2009
  Messages: 2,642
  Likes Received: 120
  Trophy Points: 160
  ha ha ha haa....babu Asprin bhanaaa!!! humjui mkuu wa kaya wewe?:eek2:
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 19. Gama

  Gama JF-Expert Member

  #19
  Sep 3, 2012
  Joined: Jan 9, 2010
  Messages: 9,225
  Likes Received: 1,411
  Trophy Points: 280
  madrasa?
  camp?
  kijiwe?
   
 20. Ukwaju

  Ukwaju JF Bronze Member

  #20
  Sep 3, 2012
  Joined: Oct 19, 2010
  Messages: 8,287
  Likes Received: 810
  Trophy Points: 280
  Bila ramani hizo squator hata mama Tibaijuka hatakubali huyo MKUU aruhusu bila barua hii Dunia yote ipo katika Ramani fungua Google Earth utaiona Madale sasa wajenge bila barabara bila soko bila choo msiwadanganye acheni wasubiri viwanja halali
   
Loading...