The less you know about us...the better

KGARE

Senior Member
Jul 31, 2012
108
39
KISWAHILI KINATUSAIDIA SANA;
Mara nyingine nawaza kwamba lugha yetu imetusaidia sana kulinda heshima ya nchi yetu, imetusaidia sana kuficha matatizo na habari nyingi mbaya zinazojitokeza kila siku. Tungekuwa tunazungumza na kutumia lugha ya kiingereza kwa kila kitu, nahisi tungekuwa tuna-tambulika tofauti kimataifa. Tungeanza kuwa more criticised na tungeogopwa sana na wapenda democrasia. Tena vyombo vya habari vya kimataifa (e.g. Aljazeera, CNN, etc) vingejaza correspondents huku cuz vingeshahesabu Tanzania as a potential area for international news!!

We also have another good advantage. You can’t access our records easily because we don't write and keep documents, you can't trace most of the information through the internet. Even some of our government websites have very little information..,and if at all there are...there will be another problem...language barrier! So you can’t know or even guess what is hot enough for news. Am sure Looking for a translator is discouraging.
THE LESS YOU KNOW ABOUT US, THE BETTER!!!
 
Kweli mkuu, hata hicho kipande cha habari ulichomalizia nacho mada kimefanya huu uzi uwe mfupi of which its much better.
 
Back
Top Bottom