Advera Senso,msemaji wa Jeshi la polisi | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Advera Senso,msemaji wa Jeshi la polisi

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Bajabiri, Sep 3, 2012.

 1. B

  Bajabiri JF-Expert Member

  #1
  Sep 3, 2012
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 9,755
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 0
  Nimemsikiliza huyu mama akihojiwa na sudi mnete wa idhaa ya kiswahili redio DW,amesema kwamba kuna watu 30 wamekamatwa wakitokea Iringa kwenda mbeya ambao wanawahisi ndio waliosababisha vurugu,
  Pili amesisitiza kwa KUJIAMINI kuwa Marehem Mwangosi ameuliwa na kitu kilichotumwa kutokea upande wa wananchi na si POLISI,,,,,,
  HIKI CHOMBO SIJUI NANI HUWA ANAKIRUSHA YAILAHI
   
 2. 654

  654 Senior Member

  #2
  Sep 3, 2012
  Joined: Feb 1, 2012
  Messages: 173
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Sasa mkuu ulitegemea akubali kuwa alilipuliwa na tear gas canister? she is serving her master
  penye ukweli uongo hujitenga, DAIMA
   
 3. K

  Kassim Awadh JF-Expert Member

  #3
  Sep 4, 2012
  Joined: Mar 12, 2012
  Messages: 887
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 35
  mojawapo ya maofisa hopeless ni yule mama,under the carpet anatoa k kwa mkubwa ndo chanzo hata cha kupewa nafasi ile licha ya cheo chake kuwa kidogo kwa wadhifa ule,,kiitifaki ya polisi
   
 4. PrN-kazi

  PrN-kazi JF-Expert Member

  #4
  Sep 4, 2012
  Joined: Feb 5, 2011
  Messages: 2,890
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 135
  dah! hao ndo maintelijensia wetu, mama anatamka hivyo!! ripoti ya uchunguzi tayari imeishatoka?????.
   
 5. BHULULU

  BHULULU JF-Expert Member

  #5
  Sep 4, 2012
  Joined: Jun 28, 2012
  Messages: 4,911
  Likes Received: 122
  Trophy Points: 160
  kazi bado tunayo wadanganyika
   
 6. d

  dmwinuka Member

  #6
  Sep 4, 2012
  Joined: Jun 21, 2012
  Messages: 38
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Kwa kweli inasikitisha sana kuona haya yakitendeka katika nchi inayohubiriwa kuwa ni kisiwa cha amani na ukweli kupindishwa, lakini kila chenye mwanzo na mwisho wake upo. let's wait and see.
   
 7. Lambardi

  Lambardi JF-Expert Member

  #7
  Sep 4, 2012
  Joined: Feb 7, 2008
  Messages: 10,312
  Likes Received: 5,600
  Trophy Points: 280
  Hawa ma policcm wamesahau watu waliowazunguka wana IQ kubwa zaidi yao...wamejisahau wao ni failures wa sekondari almost wote,sasa sababu wameingia huko ni amri wanataka kutuburuza wote na ujinga wao....sio karne hii!!Mwema angejiudhuru kulinda heshima ya Jeshi!ushemeji ungewekwa pembeni sasa jamani imetosha
   
 8. B

  Bajabiri JF-Expert Member

  #8
  Sep 4, 2012
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 9,755
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 0
  Bado najiuliza,na nnazidi kujiuliza MSEMAJI WA JESHI LA POLISI ANATUDANGANYA AU ANAJIKANGANYA????
   
 9. Nazjaz

  Nazjaz JF-Expert Member

  #9
  Sep 4, 2012
  Joined: Jan 20, 2011
  Messages: 5,345
  Likes Received: 1,137
  Trophy Points: 280
  Picha za tukio zipi, zitawasuta
   
 10. t

  thandiswa Member

  #10
  Sep 4, 2012
  Joined: Apr 10, 2012
  Messages: 86
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Cha kwanza mwema angeachia ngazi,afuate kamhanda hadi huyo mmama msemaji wao ni aibu kuturudisha zama hizo wakati kila kitu kiko wazi,watu wameshuhudia live,picha zipo. kuonyesha ni wanyama kiasi gani wamemwacha na nyama tu hata bila kumsitiri kiumbe cha mja,wanamuhangaikia mwenzao. Sina hakika na IQ ya jeshi la policcm kiukweliwana bahati sn wadanganyika hawapendi makuu,pangekuwa pengine yaaani jana leo ni kelele,maandamano barabarani wote hao watoke ila kuonyesha watz ni wavumilivu,wako kimya.
   
Loading...