Msaada kwa ajili ya dawa ya kufukuza nge | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Msaada kwa ajili ya dawa ya kufukuza nge

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by KIDUNDULIMA, Sep 4, 2012.

 1. K

  KIDUNDULIMA JF-Expert Member

  #1
  Sep 4, 2012
  Joined: Aug 18, 2010
  Messages: 773
  Likes Received: 52
  Trophy Points: 45
  naishi eneo ambalo lina nge wengi sana mpaka huwa wanaingia ndani. Nahofia wasije wakasababisha madhara kwa mtoto wangu wa mwaka mmoja. kwa yeyote anayejua dawa ya kuua au kufukuza nge anisaidie. nkama anajua inapotikana au mtu anayetoa huduma ya kupuliza
   
Loading...