Mabalozi wanaowakilisha nchi zao nchin wameshindwa kulaan mauaji ya polisi nchini.

augustino ameri

JF-Expert Member
Jul 5, 2012
267
57
Polisi wameua Igunga, Mbeya kwenye maandamano ya wafanyabiashara,Morogoro Iringa,Arusha,Maswa,mateso ya Dr. Mabwepande nk.Mabalozi wapo kimya kama hawapo.
 
Polisi wameua Igunga, Mbeya kwenye maandamano ya wafanyabiashara,Morogoro Iringa,Arusha,Maswa,mateso ya Dr. Mabwepande nk.Mabalozi wapo kimya kama hawapo.

Ulitaka wafanye nini? Kwani wao wako kuingilia mambo ya nchi nyingine?
 
usitie shaka ,wale jamàa wanafanya kazi hata muda ambao wewe umelala,utashangaa watakapokuja kukupa habari nzuri kuliko unavyodhani,najua nchi unazomaanisha ni zile zinazosuport budget,sio balozi wa museven au mugabe.
 
Polisi wameua Igunga, Mbeya kwenye maandamano ya wafanyabiashara,Morogoro Iringa,Arusha,Maswa,mateso ya Dr. Mabwepande nk.Mabalozi wapo kimya kama hawapo.
Watanzania tumezoea kumwaga lawama kwa watu wengine isipokuwa sisi wenyewe. Sasa hapa Mabalozi wanaingiaje? Ni sawa na kumlaumu baba wa jirani kwamba hakutetei ukiwa unakula mbata kutoka kwa baba yako,ilhali baba yako hapo mtaani kwenu anaonekana ni mstaarabu na mtu wa maadili. Kumbe akiingia ndani tu familia nzima mnakula mikanda usiku kucha. Nani wa kulaumiwa hapa????
 
Back
Top Bottom