ZAWADI YA WAANDISHI TOKA kwa SALA ZA UMMA | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

ZAWADI YA WAANDISHI TOKA kwa SALA ZA UMMA

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Kachanchabuseta, Sep 3, 2012.

 1. Kachanchabuseta

  Kachanchabuseta JF-Expert Member

  #1
  Sep 3, 2012
  Joined: Mar 8, 2010
  Messages: 7,290
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 135
  [h=2]Kwenu Waandishi Wa Habari na Wamiliki Wa Vyombo Vya Habari Tanzania.[/h]
  Kwanza kwa Masikitiko makubwa natoa salamu zangu za Rambirambi kwa familia ya Marehemu Bwanaa Daudi Mwangosi, Channel Ten, Waandishi Wa Habari na Wapenda maendeleo wote. Mungu aipumzishe roho ya marehem mahali pema peponi.


  Naanza kwa kuwaambia wanataaluma ya habari, Ni Heri umfadhili Punda atakubebea mizigo kuliko kufadhili fisadi.


  Ni katika matukio mengi tu toka napopata akili ya kujua jema na baya waandishi mmekuwa mkilalamikiwa kupindisha ukweli au kuuficha kabisa. Na hilo nimelidhihirisha mwenyewe katika baadhi ya matukio niliyoyashuhudia LIVE tukioni. Kama lile Tarehe 5 Januari 2011 Arusha. (Sitorudia maelezo yake, asante to JF ukweli ulifahamika).

  Hao mlokuwa mkiwasaidia either sababu

  1. Mnapewa rushwa
  2. Mnamlinda mwajiri wenu
  3. Mnajipendekeza kwa mwajiri
  Etc,
  sasa wameanza kuwafanyia nyie yale walotufanyia na mkawasaidia kuyaficha.

  "Bomu la Machozi", "kitu kizito" au "flying object" sasa limelenga na kumuua hapo hapo kipenzi chetu mwaandishi mwenzenu ndugu Daudi Mwangosi (R.I.P), kaa ukijua kwa ishara hiyo lolote lawezekana. Maana wanajua ninyi hamna guts za kufanya uchunguzi wala kuhoji, so wataweza ku-claim chochote kile apendacho kusema ndio kiliua au si ajabu hata ku-pin hii kesi kwa mmoja wenu.

  Nguvu mlio nayo ni kubwa mpaka mkaitwa the "4th Estate" nyuma ya Executive(1st Estate),
  Legislature (2nd estate) na Judiciary (3rd estate), mbele ya
  Organised Crime (5th Estate).
  Lakini ninyi kwa njaa au uoga mmekuwa wadogo mkawa dependants wa wadogo zenu the 5th Estate, mmeshindwa kujiamini na kujitegemea, hamuwezi kusema kweli. Ninyi wenyewe mnakatishana tamaa, msema kweli anatengwa.

  Gazeti la MwanaHalisi limefungiwa mmekaa tu kimya, Jerry kashikishwa kesi mmekaa tu. Na sasa mwenzenu, Mtanzania mwenzetu kauwawa tena on field, mtafanyaje?

  Je Mtakaa kimya upepo upite?

  Je Mtakubali pesa muudanganye Umma?

  Je Mtageuza kifo cha Daudi mtaji wa kupokea na kuomba rushwa a.k.a vibahasha?

  Je sasa mtaona kama wakati umefika na kusimamia kweli na haki??

  Sisi wananchi tunangoja kuona nini itakuwa reaction yenu, na je ina manufaa kwetu sisi na Taifa.

  Msiogope, Tunachopigania leo ni kwa ajili ya maisha yetu na watoto wetu kesho. Wengi tutaumia, tutalemaa, tutafungwa na wengine kuuwawa lakini tusitishike tusonge mbele. Hata wazazi wako walijinyima ndio mana leo angalau unaweza hata kusoma hii post.


  Watoto wanaozaliwa kwa siku ni zaidi ya mara mia ya risasi zinazotengenezwa kwa siku, Hatutaisha wote, kuna watakaobaki kuelezea Stori hizi za ukombozi.


  Rest In Peace Daudi Mwangosi.

  Source: Frederick M. Katulanda
   
 2. s

  sweke34 JF-Expert Member

  #2
  Sep 3, 2012
  Joined: Sep 28, 2010
  Messages: 2,533
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135
  ni sara au sala
   
 3. Kachanchabuseta

  Kachanchabuseta JF-Expert Member

  #3
  Sep 3, 2012
  Joined: Mar 8, 2010
  Messages: 7,290
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 135
  Mod atanisadia kurekebisha
   
 4. m

  mamajack JF-Expert Member

  #4
  Sep 3, 2012
  Joined: May 21, 2012
  Messages: 1,162
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 135
  umesema kweli kabisa,na si kwa waandishi tu,hata hao polis wanatekeleza kila wanachoambiwa kufanya,ipo siku utasimama wewe kama wewe,maana ushahidi upo,yaani siku inakuja kila mtu atabaki mwenyewe kama huamini muulize gadafi kama yaliyomtokea aliwahi kuyafikiria kwenye maisha yake!suniani hapa huwezi ondoka bila kulipa,nyie polis watii amri endeleani,sie tupo tayari tuueni tu maana hatuwezi kukaa kimya wakati tunaumia,lakini naamini siku ya malipo ipo tu.
   
 5. GeniusBrain

  GeniusBrain JF-Expert Member

  #5
  Sep 3, 2012
  Joined: Nov 3, 2010
  Messages: 4,321
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135

  Kwa mada ilivyochanganywa hata hakijulikani kipi kilikuwa kinatakiwa kufikishwa kwetu, ni sawa sawa na mboga amabyo imechanganywa kila kitu kuku+ ng'ombe+mbuzi+dagaa+samaki+mchicha nk sasa sijui ni mboga gani
   
 6. BHULULU

  BHULULU JF-Expert Member

  #6
  Sep 3, 2012
  Joined: Jun 28, 2012
  Messages: 4,911
  Likes Received: 122
  Trophy Points: 160
  wewe huwezi ukaelewa kwa upeo wako
   
 7. m

  mamajack JF-Expert Member

  #7
  Sep 3, 2012
  Joined: May 21, 2012
  Messages: 1,162
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 135
  wewe ndiyo umechanganyikiwa.
   
 8. Matola

  Matola JF-Expert Member

  #8
  Sep 3, 2012
  Joined: Oct 18, 2010
  Messages: 36,045
  Likes Received: 13,273
  Trophy Points: 280
  Nilikwambia muandiko wako naujuwa hata ujikaushe vipi Sugumarelia.com
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 9. j

  jeneneke JF-Expert Member

  #9
  Sep 3, 2012
  Joined: Jul 5, 2012
  Messages: 760
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 35
  ndugu samahani kwa kuwa english ni lugha ya 3 kwangu naomba kujua maana ya hilo neno nililobold kama lilivyotumika hapa
   
 10. M

  Mzee wa Usafi JF-Expert Member

  #10
  Sep 3, 2012
  Joined: Apr 16, 2008
  Messages: 634
  Likes Received: 93
  Trophy Points: 45
  Kamuhanda amemuua mwandishi wa habari mwangosi....mabomu huwa hayapigwi bila ya amri ya mkubwa na kamuhanda alikuwapo kwenye tukio hivyo amri ilitoka kwake
   
 11. g

  gabatha Senior Member

  #11
  Sep 3, 2012
  Joined: Apr 6, 2012
  Messages: 108
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 35
  ni kweli ss waandishi limewafika, andikeni tena ameuawa kwny vurugu za mikutano ya chadema km mlivyoandika mauaji ya moro. Njaa ndio adui ya waandishi wetu. hata mkiona polisi anapiga wananchi nyinyi mnaandika tofauti. Kwny habari juzi ch. ten mlisema chadema hawajashiriki knwy mazishi tanga ya Ally Nzona, ss limewafika!
   
Loading...