"Chadema wanaleta vita"

lukindo

JF-Expert Member
Mar 20, 2010
8,466
9,028
kwa wale ambao wanaendelea kuamini propaganda za wanasiasa kuwa cdm wanaleta vita na kuhamasisha vurugu yapasa wajiulize mara mbili. bshec.jpg
Angalieni hapa msije sema hatukuambiwa! rage.jpg 5.jpg
 
Attachments

  • bshe.jpg
    bshe.jpg
    54.5 KB · Views: 92
laa! sawa na wagoni wawili wanagombea mke wa mtu, wakati mwenye mke kakaa kimya kama haoni!
Hapo yupo msomali, mtutsi, na mtanganyika! Kazi ipo!
 
Nikweli chadema inaleta fujo imetufanya wanaccm tuchanganyikiwe!

jamani, kila siku lawama zote ni kwa chadema. vita na fujo si sera ya chadema ila UHURU na MAENDELEO YA WATU- chadema dream!!lakini waliozusha hilo jambo ,ccm ndo watu wachochezi na ndio wanaotaka fujo na vita, ili kuwaweka misalabani viongozi wa chadema ukifananisha na WAISRAEL (CCM) walivyo msulubu yesu kwa uwongo Waliolazimisha wao!kama chadema ni chama cha watu , kamwe watu hawawezi kupigana wenyewe kama ilivyo kuwa RWANDA! wanaotaka vita ya KUWANYIMA WATU HAKI ZAO ni POLISI na chadema hawana haja ya KUPIGANA ,hatuhitaji bunduki na mapanga lakini MOVEMENT FOR CHANGE ni silaha tosha!!!
 
ukiangalia vizuri hapa jf kuna picha za matukio mengi unazoweza kuzilink na hizi, mfano mauaji ya Arumeru Mashariki, Arusha mjini, Morogoro nk na bado wanaendeleza hizo propaganda. Kizuri ni kuwa uelewa wa wananchi wa kawaida unakua kwa kasi ya kubwa sana
 
Bora hao wametishiana bastola.. kuna yule aliyeibiwa na dadapoa morogoro yeye anatembea na bunduki ya kivita kabisa

Halafu wanasema CDM inachochea vita
 
jamani, kila siku lawama zote ni kwa chadema. vita na fujo si sera ya chadema ila UHURU na MAENDELEO YA WATU- chadema dream!!lakini waliozusha hilo jambo ,ccm ndo watu wachochezi na ndio wanaotaka fujo na vita, ili kuwaweka misalabani viongozi wa chadema ukifananisha na WAISRAEL (CCM) walivyo msulubu yesu kwa uwongo Waliolazimisha wao!kama chadema ni chama cha watu , kamwe watu hawawezi kupigana wenyewe kama ilivyo kuwa RWANDA! wanaotaka vita ya KUWANYIMA WATU HAKI ZAO ni POLISI na chadema hawana haja ya KUPIGANA ,hatuhitaji bunduki na mapanga lakini MOVEMENT FOR CHANGE ni silaha tosha!!!

mkuu chadema mnaleta mapandikizi ndani ya ccm nakutufanya tusielewane nape ni pandikizi lenu na Sitta!
 
mkuu chadema mnaleta mapandikizi ndani ya ccm nakutufanya tusielewane nape ni pandikizi lenu na Sitta!
unataka kuunganisha mawazo yako na JK aliposema kuwa "wapinzani ndio wanachochea propaganda kati ya Malawi na TZ"????
 
Umemsahau yule aliyeibiwa Morogoro na kukutwa na mabunduki kibao.
Hivi suala la ile bunduki liliishia wapi?kimya kinadhihirisha kuwa aliyosema Slaa kuwa watu waCCM wanamiliki silaha za kivita ni kweli maana huyo ni kiongozi ndani ya CCM na ana silaha ya kivita na hahojiwi.
sasa kama naibu waziri anapewa SMG jee PM atakuwa na nini? nadhani yeye ana RPG kabisa.
 
Ndo ishatoka hiyo, mbona Simbachawene pia habari yake imepotezewa, usitegemee majibu yoyote kutoka kwa ccm, maswali yamekuwa mengi mno hata hawajui waanzie wapi kujibu, ccm maadili hakuna kabisa tena kwa kiwango kikubwa sana, hii inachangiwa na kila mmoja kuwa na ndevu kama familia ya kambale vile, baba ndevu, mama ndevu, watoto ndevu... kwa kwa hiyo hakuna anayemuogopa mwenzake, angalia jinsi mtoto wa mkulu anavyoweza kusema chochote anachotaka anapotaka.

Naweza kuwa nimetoka nje ya mada lakini sababu ya yote haya ni kushuka kwa maadili, kutokana na kukosekana wa kuyasimamia... baaaaaaasi.
 
Back
Top Bottom