Mgodi tulawaka kufungwa mwaka 2013!jee kuna faida tuliopata zaidi ya mashimo? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mgodi tulawaka kufungwa mwaka 2013!jee kuna faida tuliopata zaidi ya mashimo?

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by BONGOLALA, Sep 3, 2012.

 1. BONGOLALA

  BONGOLALA JF-Expert Member

  #1
  Sep 3, 2012
  Joined: Sep 14, 2009
  Messages: 13,792
  Likes Received: 2,400
  Trophy Points: 280
  Mwekezaji mgodi wa dhahabu tulawakwa kuufunga,madini yameisha!pia tanzania one tanzanite nao wataondoka karibuni
   
 2. Twilumba

  Twilumba JF-Expert Member

  #2
  Sep 3, 2012
  Joined: Dec 5, 2010
  Messages: 6,148
  Likes Received: 878
  Trophy Points: 280
  Danganya toto hiyo, si umesikia kuwa wamefanya utafiti na kwamba hadi 2013 watatoa uamuzi maana imeonekana bado kuna Gold ya kutosha katika ardhi hiyo!!

  Naamini hawa wadosi wameshafundihwa namna ya kukwepa kodi,
  Subiri uone!!!
   
 3. Ndibalema

  Ndibalema JF-Expert Member

  #3
  Sep 3, 2012
  Joined: Apr 26, 2008
  Messages: 10,916
  Likes Received: 131
  Trophy Points: 160
  Ni usanii tuu. Ilibidi ufungwe zaidi ya miaka miwili iliyopita lakini mpaka leo unapiga kazi tuu.
   
 4. u

  ukweli2 Member

  #4
  Sep 3, 2012
  Joined: Nov 18, 2011
  Messages: 67
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 15
  na juzi juzi tuu mtanzania ndo alipewa ujenero meneja na ameanza kazi leo...
   
 5. Mwanahisa

  Mwanahisa JF-Expert Member

  #5
  Sep 4, 2012
  Joined: Jun 29, 2012
  Messages: 1,397
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  Hapo kwenye red, unamaanisha hao jamaa wameshatoka NHC na sasa wanachimba madini?
   
Loading...