Kati ya hawa nani mkweli juu ya kifo cha Daudi Mwangosi | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kati ya hawa nani mkweli juu ya kifo cha Daudi Mwangosi

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by kibogo, Sep 4, 2012.

 1. kibogo

  kibogo JF-Expert Member

  #1
  Sep 4, 2012
  Joined: Apr 1, 2012
  Messages: 9,481
  Likes Received: 790
  Trophy Points: 280
  Nimeona na kusiki mwandishi mmoja katika kikao chao walichofanya hapo Morogoro akitamka kuwa Waziri mwenye dhamana wa mambo ya ndani katamka kuwa marehemu ameuliwa na Bomu la machozi lililokuwa alijasetiwa vizuri, na huku RPC akisema imetokana na kitu kinachodhaniwa ni bomu kutoka kwa wananchi.

  My take
  1. Waziri hadi anatoa tamko alipewa na nani hizo taarifa?na kwa nini zinatofautiana na RPC?
  2. Tumeona kwenye picha jinsi kikundi cha polisi walivyokuwa wamemzunguka marehemu je kama ni bomu kutoka kwa wananchi hao polisi wangesalimika kiasi hicho?
  3. Aliyeunda tume inayokwenda kuchunguza ni nani wakati waziri amekwisha tamka ni bomu la machozi lisilosetiwa vizuri au Polisi mnataka kuendeleza usanii wenu
  4. Kama ni polisi aliyefyatua bomu hilo kulingana na kauli ya waziri na kusababisha mauaji hayo waziri anaweza kuueleza umma huyo polisi yuko wapi kwa sasa hatua gani zime/zinatarajiwa kuchukuliwa dhidi yake?
   
 2. Tango73

  Tango73 JF-Expert Member

  #2
  Sep 4, 2012
  Joined: Dec 14, 2008
  Messages: 1,678
  Likes Received: 34
  Trophy Points: 135
  HAYA YANANIKUMBUSHA MAUAJI YA tom mBOYA KULE kENYA. mARA BAADA YA KUUWAWA tom, KULIKUWA NA UTATa wa habari kila kukicha mpaka leo hii Mkenya hajui nini kilimtokea aliyemuuwa Tom Mboya.
   
Loading...