FFU ni watanzania!!?? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

FFU ni watanzania!!??

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by DASA, Sep 1, 2012.

 1. DASA

  DASA JF-Expert Member

  #1
  Sep 1, 2012
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 1,031
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 135
  Hivi kweli hawa jamaa ni waTZ kweli, mi sura zao wengi nikiziangaliaga na jinsi walivyo hawafananii kabisa.
   
 2. Baba V

  Baba V JF-Expert Member

  #2
  Sep 1, 2012
  Joined: Dec 29, 2010
  Messages: 19,507
  Likes Received: 170
  Trophy Points: 160
  Sio Watanzania,ni wajeshi!
   
 3. B

  Babuyao JF-Expert Member

  #3
  Sep 1, 2012
  Joined: Jun 6, 2009
  Messages: 1,734
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 145
  wamekodiwa kutoka mbali ili wawashughulikie wahalifu bila huruma, aibu wala uwoga.
   
 4. Elli

  Elli JF-Expert Member

  #4
  Sep 1, 2012
  Joined: Mar 17, 2008
  Messages: 26,822
  Likes Received: 10,118
  Trophy Points: 280
  Ni Watanzania wasio na ubongo wa kuhoji na akili za kufikiri
   
 5. zomba

  zomba JF-Expert Member

  #5
  Sep 1, 2012
  Joined: Nov 27, 2007
  Messages: 17,081
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 0
  Foreign Forces Unit
   
 6. Domhome

  Domhome JF-Expert Member

  #6
  Sep 1, 2012
  Joined: Jun 28, 2010
  Messages: 1,989
  Likes Received: 1,045
  Trophy Points: 280
  Mkuu,
  Utaratibu wa sasa wa kuwapata Polisi ni hatari mno, amini usiamini yeyote yule anaweza kuingia pale CCP (Mkongo, Mrundi, Mganda, Mmalawi, Mnyarwanda nk nk.) alimradi tu awe na fedha, nayaongea haya kwani nimefika hadi CCP, na kupata hali halisi "on the ground." Kwasasa bei ni 1.2m ukishatoa hii unapaswa kuacha passport size 3 tu then, maswala ya vyeti (kama hujafika Sekondari) wanatengeneza wao wenyewe in connection na wenzao wa Dar (Mambo ya Ndani).

  Hii ndo hali halisi sasa je, mfano wakiingia hao wasio Watanzania what do you expect? ....kama Nchi itapata Kiongozi mwadilifu in future, itabidi aanze upya.........
   
 7. DASA

  DASA JF-Expert Member

  #7
  Sep 1, 2012
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 1,031
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 135
  Duh!!!
   
 8. d

  danizzo JF-Expert Member

  #8
  Sep 1, 2012
  Joined: Mar 19, 2011
  Messages: 279
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mayahudh
   
 9. d

  danizzo JF-Expert Member

  #9
  Sep 1, 2012
  Joined: Mar 19, 2011
  Messages: 279
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mayahudi. Manasara. Mabedui. Majuha!
   
 10. K

  Kahungo New Member

  #10
  Sep 1, 2012
  Joined: Aug 17, 2012
  Messages: 1
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  I thnk huwa wanazitoa stress na ugumu wa maisha yao kwa raia wasio na hatia .
   
 11. Kirode

  Kirode JF-Expert Member

  #11
  Sep 1, 2012
  Joined: Mar 25, 2011
  Messages: 3,573
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  Ni wa south africa wameletwa na chama kwa shughuli maalumu
   
 12. M

  MR.KUMEKUCHA Senior Member

  #12
  Sep 1, 2012
  Joined: Aug 30, 2012
  Messages: 146
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  FFU NI WATU AMBAO WAMEFUNDISHWA KUTUMIA NGUVU NYINGI KULIKO AKILI, KWA UJUMLA WATZ HAWA FFU WANAFANYA KAZI KAMA ENZI ZA UKOLONI .MFANO WANAPAMBANA NA WANANCHI AMBAO HAWANA SILAHA WAKIUA HAWACHUKULIWI HATUA YOYOTE ILE 'SiriKALI KIMYA'PROPAGANDA2' SIKU TUWANYONGE HAWA.polisi ni huduma wala si Jwtz.
   
 13. m

  markj JF-Expert Member

  #13
  Sep 1, 2012
  Joined: Jul 6, 2012
  Messages: 1,756
  Likes Received: 364
  Trophy Points: 180
  wakenya!
   
 14. Boflo

  Boflo JF-Expert Member

  #14
  Sep 1, 2012
  Joined: Jan 20, 2010
  Messages: 4,394
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  Hao ni mamluki....wanafanana sana wajaluo....ni makatili sana na majizi
   
 15. Mzee wa Rula

  Mzee wa Rula JF-Expert Member

  #15
  Sep 1, 2012
  Joined: Oct 6, 2010
  Messages: 8,177
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145
  Mambo mengine hayana kichwa wala miguu. Inaelewrka wazi askari yoyote anatakiwa awe mkakamavu, na FFU ni miongoni mwa askar iambao wanatakiwa wawe wakakamavu ili waweze kutumia vifaa na nguvu zao + ujuzi walionao kutuliza ghasia.

  Hoja ya msingi ni matumizi ya FFU je ni sahihi???? Na hili haliwahusu hao FFU kwa sababu wao ni watu wa kutekeleza maagizo toka kwa viongozi walio juu yao.

  Kama viongozo wao wanatumika kisiasa au vibaya huna haja ya kuwalaumi FFU ambao wao wanatekeleza amri halali.

  Kuhusi mfumo wa uajiri kama upo corrupt au una mapungufu hiyo inkuwa ni tatzo la system nzima na siyo FFU.
   
 16. B

  Babuyao JF-Expert Member

  #16
  Sep 1, 2012
  Joined: Jun 6, 2009
  Messages: 1,734
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 145
  Maelezo yako ni mazuri. Lakini mtoa mada anazungumzia sura zao kwamba hawafanani na watanzania. Wana sura ngeni tu ambazo ni tofauti mno za watz. Hajaongelea mafunzo, ukakamavu na utendaji wao wa kazi. Basi amejikita ktk appearance ya hawa viumbe serious.
   
 17. DASA

  DASA JF-Expert Member

  #17
  Sep 1, 2012
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 1,031
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 135
  Nashukuru.
   
 18. Codon

  Codon JF-Expert Member

  #18
  Sep 1, 2012
  Joined: Dec 16, 2011
  Messages: 629
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Unamaana kwasasa hatuna kiongozi muadilifu......,yahuruma yoote,upole woote huvioni mkuu?Haya basi kasema haendi tena Ethiopia!Furahi walau kidogo eee!
   
 19. Domhome

  Domhome JF-Expert Member

  #19
  Sep 2, 2012
  Joined: Jun 28, 2010
  Messages: 1,989
  Likes Received: 1,045
  Trophy Points: 280
  ....nimejaribu kuongelea hali halisi ya upatikanaji wa askari Polisi. Kwenye taratibu, kanuni na maadili huruma au upole vinaweza visiwe na nafasi saaana,suala ni maadili tu, kwani huruma na upole bila kufuata taratibu na kanuni ni upuuzi....
   
 20. Mulhat Mpunga

  Mulhat Mpunga JF-Expert Member

  #20
  Sep 2, 2012
  Joined: Oct 28, 2010
  Messages: 25,481
  Likes Received: 12,756
  Trophy Points: 280
  hayo majamaa lazima yawe hivo kwanza yanaishi kwa tabu kule kwenye kotaz zao
  kwahiyo kila mara yanakunja sura af pia ganja sometimes inachangia lol
   
Loading...