Viongozi wa chadema wajitathmini kama wanaweza kuongoza -katibu uvccm(Jembe) | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Viongozi wa chadema wajitathmini kama wanaweza kuongoza -katibu uvccm(Jembe)

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by mopaozi, Sep 3, 2012.

 1. mopaozi

  mopaozi JF-Expert Member

  #1
  Sep 3, 2012
  Joined: Nov 17, 2010
  Messages: 3,290
  Likes Received: 105
  Trophy Points: 160
  Mh katibu wa uvccm akihojiwa amewashauri viongozi wa chadema kujitathmini kama kweli wanaeza kuongoza kutokana na kila mara wanapofanya mikutano mauaji yanatokea kweli wanauwezo wa kuongoza?waachie ngazi kupisha viongozi watakaoweza na si wao Wameshindwa vibaya.Safi sana tuko pamoja Jembe source Itv saa 2
   
 2. k

  kilaki Member

  #2
  Sep 3, 2012
  Joined: Aug 27, 2012
  Messages: 49
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mtoa ushauri ni mpumbavu kupindukia
  toka lina viongozi wa chadema wakashika bunduki au mabomu na kuua watu wasio na hatia??????????
  Au jeshi la polisi linaamriwa na viongozi wa chadema?????????????
  Inawezekana wewe si mjinga kiasi hicho ila uccm umekuponza ukakurupuka.
  "tumia akili kidogo utaona upuuzi wako ulipo".
   
 3. Zipuwawa

  Zipuwawa JF-Expert Member

  #3
  Sep 3, 2012
  Joined: Nov 28, 2010
  Messages: 3,052
  Likes Received: 92
  Trophy Points: 145
  Huyu jamaa anaakili timamu kweli? Kwanini asiseme polisi wajitadhimini?
   
 4. mopaozi

  mopaozi JF-Expert Member

  #4
  Sep 3, 2012
  Joined: Nov 17, 2010
  Messages: 3,290
  Likes Received: 105
  Trophy Points: 160
  Mtajibeba na nyie mchukue mikoba wameshindwa kwa ulevi
   
 5. Z

  ZeMarcopolo JF-Expert Member

  #5
  Sep 3, 2012
  Joined: May 11, 2008
  Messages: 13,588
  Likes Received: 480
  Trophy Points: 180
  Tukitaka taifa liangamie tuendelee kutumia vurugu kama mitaji ya kisiasa. Zinapotokea vurugu kila mmoja wetu anawajibika kukemea siyo kutumia kama jukwaa la kupigana vijembe...
   
 6. BAK

  BAK JF-Expert Member

  #6
  Sep 3, 2012
  Joined: Feb 11, 2007
  Messages: 70,457
  Likes Received: 81,692
  Trophy Points: 280
  ...Vurugu zinapotokea tuwe wakweli kusema kile kilichojiri na siyo kuandika/kusema uongo na kutaka kuwabambikia kesi wale ambao hawakuhusika kabisa na mauaji. Mauaji yaliyofanyika kule Arusha, Igunga, Tarime, Mbeya, Morogoro, Iringa n.k. na hata yale mauaji yaliyotaka kufanywa dhidi ya Dr Ulimboka wahusika wanafahamika lakini kwa hii Serikali dhalimu ambayo inataka kung'ang'ania madaraka milele iko radhi iseme uongo ili kuwabambikia kesi wale wasiohusika na pia kutaka kuonyesha kwamba CDM ni chama cha vurugu wakati hakuna ushahidi wowote wa kuthibitisha hilo.

   
 7. b

  batromayo Member

  #7
  Sep 3, 2012
  Joined: Dec 13, 2010
  Messages: 32
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mi sijawahi kuona akiongea cha maana zaidi ya propaganda za kitoto. Huu si muda wa kufanya propaganda za kitoto, fanya siasa ukishindwa nenda kauze ugoro! hata wanaenda kumhoji si huwa wanajua nini atajibu?
   
 8. Autorun

  Autorun JF-Expert Member

  #8
  Sep 3, 2012
  Joined: Mar 21, 2008
  Messages: 556
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 35
  Anae wauwa watu katika matukio hayo ni nan?
   
 9. B

  Bahati Risiki JF-Expert Member

  #9
  Sep 3, 2012
  Joined: Jun 20, 2012
  Messages: 531
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Hawa ndio wanaoiua CCM kwa ulaini!!!! Unawezaje kusema haya kama wewe una akili timamu. Hata kama ni vyeo jamani viendeeni kwa busara kidogo tu. Hawa wanaouwawa ni raia. Wana ndugu, warafiki, nk. Tukumbuke sisi wote tunaishi pamoja. Tusijisahau kiasi huki!
   
Loading...