Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Habari za jioni, natumaini zoezi la sensa linaendelea vizuri huko nchini. Habari mbaya ni kwamba wanajeshi watatu wa tanzania wamefariki dunia baada kuzama majini. Hao ni wale wa kundi la...
2 Reactions
67 Replies
8K Views
basi la kampuni ya gairo lilotoka dodoma kuelekea dar limepata ajali nyuma kidogo ya mto ruvu baada ya kufeli breki na kugonga basi lingine kisha kutoka nje ya barabara. Namshukuru Mwenyezi Mungu...
0 Reactions
17 Replies
3K Views
Ndugu wadau, ikiwa leo ni maadhimisho ya mashumbulio ya kigaidi yanayofikirika kufanya na Osama, naomba msaada mwenye kujua jina la kitabu kilichotolewa na mtanzania aliyeelezea jinsi tukio la...
0 Reactions
23 Replies
3K Views
SARAKASI za 'kushikana uchawi' na 'kuzidiana kete' kuelekea 2015 zinachukua sura mpya huko Tarime baada ya askari polisi wa Kikosi cha Operesheni Maalum, kinachoongozwa na Kamanda Venance Tossi...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Chadema walitumia intelegisia ya aina gani kukawia kwenda kwenye ufunguzi wa matawi pale nyololo?ina maana walijua polisi wanawatafuta kuwaua au walijua kutatokea mauaji?na kama walijua hayo...
0 Reactions
63 Replies
7K Views
kwa wale wanaopenda kujua kuhusu freemasons wa tune clouds tv siku ya halhamisi saa 3 kamili usiku kutakuwa na mahojiano kuhusu freemasons yakumhusisha east africa lodge grand master mr.chande...
0 Reactions
4 Replies
3K Views
I have been watching with keen interest on the development progress of the Rapid transit infrastructure in the Haven of Peace aka Dar Es Salaam. Does anyone have an idea on the actual operation...
1 Reactions
10 Replies
2K Views
Ndugu wanahabari wenzangu nakuja na pendekezo siku ya tarehe 2.9 ya kila mwaka iwe ni kumbukumbu ya marehemu DAVID MWANGOSI yaani SIKU YA HABARI YA DAVID MWANGOSI kwa siku hiyo waandishi wa habari...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Mh,J.Makamba naomba uelewe kuwa kampuni ya simu ya Vodacom inahamisha kitengo cha mawasiliano nchini INDIA!!Kitengo cha uratibu wa mawasiliano cha voda kinahamishiwa INDIA kinyemera ni kitengo...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Katika hali inayoonekana ni hujuma dhidi ya chenel 10, tangu yalipotokea mauaji ya Mwangosi, TANESCO Wanakata umeme kila ifikapo saa 1.00 usiku na kuuwasha nusu saa baada ya taarifa ya habari ya...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
sasa huyu naye anataka u-rais wa Tanzania.
0 Reactions
26 Replies
4K Views
sitaki kuwakumbusha wadau juu ya mauaji ya kikatili juu ya Mwangosi bali ni kutaka kuhoji na kufaham kwa kirefu zaidi....nauliza sasa CAMERA YA MWANGOSI IKO WAPI? pengine tungeweza ona mengi
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Ifikapo usiku ndani ya kituo cha daladala cha ubungo usalama huwa mdogo sana,sababu kubwa ni GIZA linalosababishwa na ukosefu wa taa,mazingira ya kituo cha ubiungo yanatofautiana na kile cha...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Jamani watu wakali kile kipindi kitakachorushwa jumamosi na Hamza kassongo na Channel ten MAUAJI YA DAUDI MWANGOSItayari kipo ktk You Tube hata km wahusika watakizuia wamechelewa bora waache...
3 Reactions
17 Replies
4K Views
Hivi kwani Serikali ina mpango gani wa kuwalipa makarani wa Sensa salio lao baada ya kazi?Tumekubali kufanya siku saba za kizalendo sasa pesa iliyobaki inakuwaje?Sio usanii na uzembe uliosemwa na...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
HALI ya usafiri katika Kituo cha Mabasi yaendayo mikoani na nchi jirani cha Ubungo (UBT), Jijini Dar es Salaam imekuwa tete baada ya shule kufunguliwa.Uchunguzi uliofanywa na Mwananchi jana...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Ni jambo sijalipatia jibu: hivi kiongozi, sema rais, anahisi vipi wakati chombo/vyombo vya serikali yake vinatwaa roho ya raia, hasa hasa bila haki? Nauliza hivi kwa vile mimi binafsi, ambaye sina...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
"Presidency does not change a person (characters) but it reveals who he/ she is." By Michelle Obama. Sasa Rais wetu tunamfahamu vizuri sana kwa sababu ya kuwa Rais, tunayoona anatenda sio kuwa...
0 Reactions
1 Replies
984 Views
Back
Top Bottom