Chanel ten watangaze mgogoro na TANESCO | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Chanel ten watangaze mgogoro na TANESCO

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Lukolo, Sep 11, 2012.

 1. Lukolo

  Lukolo JF-Expert Member

  #1
  Sep 11, 2012
  Joined: Dec 2, 2009
  Messages: 5,137
  Likes Received: 76
  Trophy Points: 145
  Katika hali inayoonekana ni hujuma dhidi ya chenel 10, tangu yalipotokea mauaji ya Mwangosi, TANESCO Wanakata umeme kila ifikapo saa 1.00 usiku na kuuwasha nusu saa baada ya taarifa ya habari ya chanel ten kuanza. Je hii si janja ya kuwataka wote wenye ving'amuzi vya star times tuangalie taarifa za habari za tbc?
   
 2. Katavi

  Katavi Platinum Member

  #2
  Sep 11, 2012
  Joined: Aug 31, 2009
  Messages: 39,474
  Likes Received: 4,134
  Trophy Points: 280
  Wapi huko mnakokatiwa kila ikifika saa 1?
   
 3. Lukolo

  Lukolo JF-Expert Member

  #3
  Sep 11, 2012
  Joined: Dec 2, 2009
  Messages: 5,137
  Likes Received: 76
  Trophy Points: 145
  Maeneo yote ya pugu, gmboto, majohe na moshi bar.
   
Loading...