Malipo ya salio la sensa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Malipo ya salio la sensa

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by NG'WENEKELE, Sep 11, 2012.

 1. NG'WENEKELE

  NG'WENEKELE Member

  #1
  Sep 11, 2012
  Joined: Mar 7, 2011
  Messages: 14
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 3
  Hivi kwani Serikali ina mpango gani wa kuwalipa makarani wa Sensa salio lao baada ya kazi?Tumekubali kufanya siku saba za kizalendo sasa pesa iliyobaki inakuwaje?Sio usanii na uzembe uliosemwa na Mnyika huu?Tunaelekea kuchoka kusubiri.
   
 2. mauro

  mauro Senior Member

  #2
  Sep 11, 2012
  Joined: Nov 28, 2011
  Messages: 109
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  SUBIRI cheki haijatoka STANBIC mkopo wa Serikali kulipa mishahara umekwama.
   
 3. B

  Baba Matatizo JF-Expert Member

  #3
  Sep 11, 2012
  Joined: May 5, 2011
  Messages: 335
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  HATA SISI HATUJALIPWA na Hata pa kuwadai hatupajui...FROM TBR
   
 4. BabaDesi

  BabaDesi JF-Expert Member

  #4
  Sep 11, 2012
  Joined: Jun 30, 2007
  Messages: 2,795
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 145
  ...Inawezekana pia sio Serikali bali humo njiani zilimopita kila mtu kataka kukata kidogokutahamaki zimekwisha...! Naona muandike maumivu tu!
   
 5. KOKUTONA

  KOKUTONA JF-Expert Member

  #5
  Sep 11, 2012
  Joined: Jan 29, 2011
  Messages: 8,344
  Likes Received: 391
  Trophy Points: 180
  Kumbe mlifanya kazi kwa kukopwa?
   
Loading...