Mh.January Makamba je una habari au unajua ila unamaslahi???

KakaKiiza

JF-Expert Member
Feb 16, 2010
11,578
8,600
Mh,J.Makamba naomba uelewe kuwa kampuni ya simu ya Vodacom inahamisha kitengo cha mawasiliano nchini INDIA!!Kitengo cha uratibu wa mawasiliano cha voda kinahamishiwa INDIA kinyemera ni kitengo kijulikanacho NETWORK OPERATION CENTRE(NOC) Wao watakuwa wanaoperate kutoka INDIA kwakutoa maelekezo kitengo cha ufundi!na kuwaelekeza mafundi ni minara gani inahitajika kuwekewa mafuta,kufanyiwa service!!Nakusababisha idara hiyo kufutwa!!na ajira za watanzania zaidi ya 30 kupoteza ajira!na waindi kupata hizo ajira kutoka huko INDIA! Je usalama wa Taifa uko katika mahali kwake?je TCRA Wapo wapi au Mkurugenzi ana agenda ya siri?Je Waziri mwenye dhamana yuko wapi?Je inawezekanaje contral department iwe INDIA?Mh, J.Makamba tunaomba ufatilie kwakuwa wewe ni kijana mwenzetu!.
 
Ungetuwekea na ushahidi au source ya taarifa yako inependeza, but, hapa kwenye inchi ya Mkere mambo yote yanawezekana. Kwani hujui kuwa server ya bank ya NBC iko south africa, huenda kuna makampuni mengi yanayofanya kazi kwa mtindo huu.
 
madhara ya globalization ndiyo haya,baada ya vodacom watahamisha pia ya airtel maana ni hao hao nokia semens network
 
Nadhani makamba kalala,mwenye connection na zitto ni bora akamfikishia habari hii
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom