CAMERA ya Mwangosi iko wapi? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

CAMERA ya Mwangosi iko wapi?

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Mkurabitambo, Sep 11, 2012.

 1. M

  Mkurabitambo JF-Expert Member

  #1
  Sep 11, 2012
  Joined: Feb 3, 2010
  Messages: 229
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  sitaki kuwakumbusha wadau juu ya mauaji ya kikatili juu ya Mwangosi bali ni kutaka kuhoji na kufaham kwa kirefu zaidi....nauliza sasa CAMERA YA MWANGOSI IKO WAPI? pengine tungeweza ona mengi
   
 2. ligendayika

  ligendayika JF-Expert Member

  #2
  Sep 11, 2012
  Joined: Aug 31, 2012
  Messages: 1,175
  Likes Received: 50
  Trophy Points: 145
  thubutu hawaitoi ohh unafanya mchezo
   
 3. kupe

  kupe JF-Expert Member

  #3
  Sep 11, 2012
  Joined: Jul 26, 2012
  Messages: 1,025
  Likes Received: 93
  Trophy Points: 145
  Sasa camera yake ya nini? Unaacha kuulizia watoto na mke wake wataishi vipi au wasaidiwe nn wewe unawaza camera ambayo hairudishi uhai wala nn? then hiyo camera itakusaidia nn ambacho hukujui au hujakiona. Si yote umeyaona kwenye picha na kuyasikia au kuna lingine jipya
   
 4. Mkali Tozz

  Mkali Tozz JF-Expert Member

  #4
  Sep 11, 2012
  Joined: Aug 9, 2012
  Messages: 279
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  NADHANI LABDA AMEULIZIA KAMERA kwania ya upatikanaji wa ushahidi kwa kile kilichorekodiwa kwenye kamera hiyo!
   
 5. kupe

  kupe JF-Expert Member

  #5
  Sep 11, 2012
  Joined: Jul 26, 2012
  Messages: 1,025
  Likes Received: 93
  Trophy Points: 145
  Ushahidi gani tena wa zaidi ya yalionekana . Hadi askari aliyemuua kaonekana na wote waliokuwepo wameonekana kwenye picha
   
 6. Shine

  Shine JF-Expert Member

  #6
  Sep 11, 2012
  Joined: Feb 5, 2011
  Messages: 11,514
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  Policcm ukiwaliza watajua tu
   
Loading...