Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Labda kwa ufupi niwaeleze kuhusu hili sakata la huko Madale. Hawa wavamizi bana wakija kwenye eneo lako hawajalishi ulisha liendeleza kwa vipi. Wao wakifika kama ni wewe au ni mlinzi wanampiga...
0 Reactions
12 Replies
3K Views
Watanzania wenzangu kuna yeyote anae weza kujisifu kwa umauti,je waweza kujisifia kwa kumpoteza ndugu au jamaa yako wa karubu na kugeuza kilio kuwa ufahari?kama sivyo kwanini tujisifie kuwa jamaa...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Nimesikikia tetesi kuwa kesho kutakuwa na maandamano makubwa ya amani nchi zima ya waandishi wa habari kupinga mauaji ya mwandishi mwenzao aliyeuawa huko iringa.NI WAKATI WA WAANDISHI WA HABARI...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Wanajamvi, Kumbukumbu yangu ni kuwa mikusanyiko ya watu, ikiwa na ya siasa ilikatazwa kwa sababu ya Sensa. Hii ikiwa ni pamoja na kukatazwa/kusitishwa kwa kazi zote zilizokuwa zikifanywa...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Nakumbuka kamanda wa polisi wa kanda maalum ya kipolisi ya jiji la Dar, Suleiman Kova, alijitokeza mwezi wa saba mwaka huu na kulifahamisha Taifa kuwa wamemkamata mtu mmoja [chizi] toka Kenya...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
1. Kuwa na mazoea ya kutenda mambo yaliyo mema kwa binadamu wenzako, tenda japo jambo moja tu lililojema kwa siku ... hebu jiulize umetenda mema mangapi kati ya jana na leo? Mabaya mangapi uliyo...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Clouds FM wametangaza kuna ujambazi unaendelea sasa hivi kwenye benki ya CBA iliyopo jengo la Jamana. Mwenye mawasiliano na askari tafadhali toa msaada wa haraka sana.
3 Reactions
219 Replies
24K Views
Ni wanaohusika na Stendi ya Mabasi ya Abiria pale Mailimoja. Kila basi linaloingia pale hutozwa 1000-kubwa na 500-dogo. Hata likiingia mara kumi kwa siku,hulipa mara zote hizo. Halafu,tiketi...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
MAHAKAMA Kuu Kanda ya Dar es Salaam, imetupilia mbali maombi ya Shirika la Umeme Tanzania (Tanesco) kutaka isitishe utekelezaji wa malipo ya Sh96 bilioni kwa Kampuni ya Kufua Umeme ya...
0 Reactions
9 Replies
3K Views
Channel 10 siku kadhaa zilizopita walitangaza kwamba siku ya jumamosi ambayo ni leo majira ya saa 2 usiku watakuwa na kipindi maalumu kuhusu mauaji ya mwandishi wa habari Iringa, ajabu mida hii...
0 Reactions
30 Replies
4K Views
Leo ni jumapili nyingine katika mwaka huu. Ni siku nyingine kwa wakristu kumshukuru mwenyezi MUNGU kwa baraka na ulinzi aliowajalia bila kusahau afya njema.Ni siku ya kuwaonea huruma na kutembelea...
1 Reactions
4 Replies
1K Views
Wakulima wa kilimo cha mpunga, kupitia chama chao cha CHAURU huko Ruvu mkoa wa Pwani wametendewa unyama mkubwa na viongozi wa chama hicho baada ya kukusanya pesa zao zikiwa ni gharama za...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
FELLAS HII KITU NIMEIPATA KWA WALL YA MTU NINAYEMHESHIMU SANA, NAOMBA NIILETE KWENU TUIJADILI. '''' Amina Chifupa alikuwa anawajua........................ Rais Jk auza nchi kumuokoa mwanae...
0 Reactions
18 Replies
2K Views
Imetokea ajali mbaya hapa kimara mwisho mda huu, inahusicha GARI AINA YA PRADO, LIMEGONGANA NA KENTA. SUBIRI UPDATES
0 Reactions
18 Replies
6K Views
Ndugu zangu, Leo nasikititka kutangaza kifo cha ndugu yetu Liana. Liana ni mtoto mkubwa wa kiume wa Mzee wetu anaemiliki Guest House ya Namnaani pale Sinza. Liana ni yule ambae alipata ajali kama...
0 Reactions
10 Replies
4K Views
Wana jf, ni ajabu ilioje kutokuhesabiwa familia ya watu 7 huku mtwara.tupo jirani sana na ofisi za wilaya ya masasi. Tumetoa taarifa kwa wahusika zaidi ya mara 3...
0 Reactions
16 Replies
2K Views
Wanajamvi. Mkutano wa CUF unaendelea sasa hivi jangwani na TBC1 wanaonesha LIVE ingawa inaonesha ni kwa shingo upande kwa kuwa mara kwa mara sauti haisikiki. Lakini pia naona hata katika jukwaa...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Taarifa nimeipata muda huu, Treni ya abiria imenusurika kupata ajali mlima wa Salanda, baada ya kichwa kimoja cha treni kuwaka moto.. Source: mfanyakazi wa TRL
0 Reactions
21 Replies
8K Views
Polisi wakorogana • Anayetuhumiwa kuua mwandishi akwama kufikishwa mahakamani na Abdallah Khamis Tanzania Daima WINGU jeusi limeendelea kutanda ndani ya Jeshi la Polisi mkoani...
3 Reactions
39 Replies
4K Views
Back
Top Bottom