Viongozi wa Chadema walijuwa Mauaji ya Nyololo mapema | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Viongozi wa Chadema walijuwa Mauaji ya Nyololo mapema

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by rosemarie, Sep 10, 2012.

 1. rosemarie

  rosemarie JF-Expert Member

  #1
  Sep 10, 2012
  Joined: Mar 22, 2011
  Messages: 6,743
  Likes Received: 832
  Trophy Points: 280
  Chadema walitumia intelegisia ya aina gani kukawia kwenda kwenye ufunguzi wa matawi pale nyololo?ina maana walijua polisi wanawatafuta kuwaua au walijua kutatokea mauaji?na kama walijua hayo mapema je kulikuwa na haja ya kutaadharisha wananchi mapema kuwa kuna mambo yatatokea nyololo?

  Je ni kwa nini walichelewa kufika kwenye eneo la tukio yaani kushiriki ufunguzi wa matawi??

  Nashindwa kuelewa haya
   
 2. Z

  ZeMarcopolo JF-Expert Member

  #2
  Sep 10, 2012
  Joined: May 11, 2008
  Messages: 13,571
  Likes Received: 427
  Trophy Points: 180
  Slaa ndio aliingia mitini baada ya kusuikia kuwa RPC kasema this time atadeal na viongozi, wenzake walikuwepo...
   
 3. M

  Mkumbavana Member

  #3
  Sep 10, 2012
  Joined: Jan 24, 2012
  Messages: 79
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ni kawaida kwa polisi kuua raia kwenye mikutano ya chadema
   
 4. NATA

  NATA JF-Expert Member

  #4
  Sep 10, 2012
  Joined: May 10, 2007
  Messages: 4,516
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 135
  Walimtaarifu IGP ili alinde raia wasidhurike!
   
 5. Baba V

  Baba V JF-Expert Member

  #5
  Sep 10, 2012
  Joined: Dec 29, 2010
  Messages: 19,506
  Likes Received: 150
  Trophy Points: 160
  Kajipange upya!
   
 6. Safari_ni_Safari

  Safari_ni_Safari JF-Expert Member

  #6
  Sep 10, 2012
  Joined: Oct 5, 2007
  Messages: 21,271
  Likes Received: 3,947
  Trophy Points: 280
  Kwa nini usijiulize Polisi waliwahi kwa sababu gani?
   
 7. dudus

  dudus JF-Expert Member

  #7
  Sep 10, 2012
  Joined: Feb 28, 2011
  Messages: 6,843
  Likes Received: 3,971
  Trophy Points: 280
  Mkuu Dr. Slaa kukimbia asidhurike (kama kweli alifanya hivyo) ni kwa faida na usalama wa nchi wala sio kwa ajili yake. Tushukuru sana busara hii ya viongozi na intelijensia ya Chadema.
   
 8. mgen

  mgen JF Bronze Member

  #8
  Sep 10, 2012
  Joined: Nov 18, 2010
  Messages: 13,940
  Likes Received: 1,381
  Trophy Points: 280
  morogoro nako vipi?
   
 9. Bishop Hiluka

  Bishop Hiluka Verified User

  #9
  Sep 10, 2012
  Joined: Aug 12, 2011
  Messages: 3,827
  Likes Received: 1,062
  Trophy Points: 280
  Mh, ipo kazi!...
   
 10. Z

  ZeMarcopolo JF-Expert Member

  #10
  Sep 10, 2012
  Joined: May 11, 2008
  Messages: 13,571
  Likes Received: 427
  Trophy Points: 180
  Viongozi wengine waliwahi. "Aliyechelewa" ni Dr. Slaa peke yake. We¨nzake mpaka kwenye picha za matukio wanaonekana, yeye ufunguzi wa tawi la kwanza "kachelewa", la pili pia "kachelewa". Logically, ilibidi ufunguzi umsubiri kiongozi mkuu, kuendelea kwa shughuli ilhali kiongozi mkuu hajafika ni ishara tosha kuwa ilifahamika kuwa kaingia mitini...

  Akili kichwani...
   
 11. Bavaria

  Bavaria JF-Expert Member

  #11
  Sep 10, 2012
  Joined: Jun 14, 2011
  Messages: 43,620
  Likes Received: 9,970
  Trophy Points: 280
  None sense.
   
 12. Z

  ZeMarcopolo JF-Expert Member

  #12
  Sep 10, 2012
  Joined: May 11, 2008
  Messages: 13,571
  Likes Received: 427
  Trophy Points: 180
  Yeye kakimbia asidhurike ila wanachama anawaambia hakuna kukubali amri ya polisi "mpaka kieleweke"!!!

  Akili kichwani...
   
 13. k

  kipuri Senior Member

  #13
  Sep 10, 2012
  Joined: Jan 27, 2012
  Messages: 157
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Natamani ningeona video jinsi Dr. Slaa alivyokimbia, kila siku tunashindwa Olympic wakati tuna vipaji kibao kwenye riadha
   
 14. k

  kinyunyu the Great New Member

  #14
  Sep 10, 2012
  Joined: Sep 8, 2012
  Messages: 4
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Jeshi la polisi lichunguzwe upya kwa manufaa ya nchi na raia
   
 15. Mr Dhaifu

  Mr Dhaifu JF-Expert Member

  #15
  Sep 10, 2012
  Joined: Jul 14, 2012
  Messages: 766
  Likes Received: 47
  Trophy Points: 45
  Viongozi waliopangiwa ndio hao uliowaona sasa nani alichelewa taja kwa majina.
   
 16. Mr Dhaifu

  Mr Dhaifu JF-Expert Member

  #16
  Sep 10, 2012
  Joined: Jul 14, 2012
  Messages: 766
  Likes Received: 47
  Trophy Points: 45
  Nyie ndio thinker tanker wa magamba mbona kazi ipo bongo njaa ndio inakufanya hivyo mpaka unadhalilisha utu wako.
   
 17. Philipo Kidwanga

  Philipo Kidwanga Verified User

  #17
  Sep 10, 2012
  Joined: Jul 12, 2012
  Messages: 2,063
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  halafu na kwanini walikuwa wengi kuwazzidi raia walichelewa kwa sababu mungu alihitaji bado kuwatumi ukombozini.
   
 18. Philipo Kidwanga

  Philipo Kidwanga Verified User

  #18
  Sep 10, 2012
  Joined: Jul 12, 2012
  Messages: 2,063
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  mwambie walichelewa kufika kwa sababu hawakuwahi kufika.
   
 19. Ndahani

  Ndahani JF-Expert Member

  #19
  Sep 10, 2012
  Joined: Jun 3, 2008
  Messages: 12,960
  Likes Received: 889
  Trophy Points: 280
  watu mnapenda masihala nyinyi...ili iweje na umri ule kukimbia?
   
 20. kingxvi

  kingxvi JF-Expert Member

  #20
  Sep 10, 2012
  Joined: Feb 11, 2011
  Messages: 883
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  u make my day
   
Loading...