Kipindi maalum j'mosi, mauaji ya mwangosi Hamza Kassongo tayari You Tube | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kipindi maalum j'mosi, mauaji ya mwangosi Hamza Kassongo tayari You Tube

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Ukwaju, Sep 5, 2012.

 1. Ukwaju

  Ukwaju JF Bronze Member

  #1
  Sep 5, 2012
  Joined: Oct 19, 2010
  Messages: 8,287
  Likes Received: 810
  Trophy Points: 280
  Jamani watu wakali kile kipindi kitakachorushwa jumamosi na Hamza kassongo na Channel ten MAUAJI YA DAUDI MWANGOSItayari kipo ktk You Tube hata km wahusika watakizuia wamechelewa bora waache watanzania wajionee yaliyotokea
   
 2. Mzee wa Rula

  Mzee wa Rula JF-Expert Member

  #2
  Sep 5, 2012
  Joined: Oct 6, 2010
  Messages: 8,177
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145
  Mdau umefanya la maana sana kuweka link.
   
 3. mchonga

  mchonga JF-Expert Member

  #3
  Sep 5, 2012
  Joined: Dec 3, 2006
  Messages: 1,250
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 135
  yaani huyu IGP amejiaibisha!!
   
 4. Rungu

  Rungu JF-Expert Member

  #4
  Sep 5, 2012
  Joined: Feb 23, 2007
  Messages: 3,873
  Likes Received: 999
  Trophy Points: 280
  [video=youtube_share;3jaK_aTlFE8]http://youtu.be/3jaK_aTlFE8[/video]
   
 5. satellite

  satellite JF-Expert Member

  #5
  Sep 5, 2012
  Joined: Nov 18, 2010
  Messages: 603
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 35

  Yaani wao wameonesha TBC1 kwa kuunga unga taarifa hadi za Arusha then wao hawataki kuumbuliwa,imekula kwao lazima kisanuke safari hii
   
 6. The Don

  The Don JF-Expert Member

  #6
  Sep 5, 2012
  Joined: Dec 2, 2011
  Messages: 3,455
  Likes Received: 142
  Trophy Points: 160
  Wao wanaziba ndani hapa inaonyeshwa worldwide kazi wanayo
   
 7. Mufiyakicheko

  Mufiyakicheko JF-Expert Member

  #7
  Sep 6, 2012
  Joined: Mar 24, 2011
  Messages: 893
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0

  Mkuu ubalikiwe
   
 8. mwaxxxx

  mwaxxxx JF-Expert Member

  #8
  Sep 6, 2012
  Joined: Jul 1, 2012
  Messages: 846
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 35
  poliCCM mna kazi
   
 9. M

  Mutakyamirwa JF-Expert Member

  #9
  Sep 6, 2012
  Joined: Jan 24, 2011
  Messages: 4,872
  Likes Received: 334
  Trophy Points: 180
  operations zao ni za kiujima. mtaji wao ni umskini wa watanzania ambao hawana runiga kuona propaganda zao.
   
 10. H

  Hosida Member

  #10
  Sep 6, 2012
  Joined: Oct 21, 2008
  Messages: 71
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Big up Ukwaju.
   
 11. n

  nkikiki Senior Member

  #11
  Sep 6, 2012
  Joined: May 30, 2011
  Messages: 126
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Kwa Watalaam, mnaweza mkatulink hapa?
   
 12. K

  Kanyala Member

  #12
  Sep 6, 2012
  Joined: Aug 11, 2012
  Messages: 41
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kwa mfano kufumuliwa aliko fumuliwa kinyama mwandishi wetu angefumuliwa mtoto wa kigogo tena kipenzi chake hivi hali ingekuwaje? unafikiri ingesubiriwa tume, unafikiri maneno ya kijingakijinga yanayoendelea kutolewa na watu wajinga wajinga yangekuwepo? unafikiri sheria ingesubiriwa kuchukuwa mkondo wake? la hasha si mahakama wala tume ambayo ingehusika bali nguvu ya vyeo vyao ingetumika. jamani ninyi yaani (NINYI VIONGOZI MSIDHANI KWAMBA WATANZANIA NI WAPUMBAVU, WANAAKILI NA UTASHI, NA UVUMILIVU WAO DHINI YA UDHALIMU WENU UMEBAKI MASAA MACHACHE SANA UISHE) KILA CHENYE MWANZO TAMBUENI KINA MWISHO WAKE.
   
 13. Gurudumu

  Gurudumu JF-Expert Member

  #13
  Sep 6, 2012
  Joined: Feb 5, 2008
  Messages: 2,350
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  kipindi hiki kiko hewani sasa hivi, Channel Ten. Tazama kama una access na muda
   
 14. b

  bagamoyo JF-Expert Member

  #14
  Sep 6, 2012
  Joined: Jan 14, 2010
  Messages: 4,522
  Likes Received: 2,108
  Trophy Points: 280
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 15. N

  Nguto JF-Expert Member

  #15
  Sep 7, 2012
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 2,652
  Likes Received: 627
  Trophy Points: 280
  Asante Ukwaju. God bless you.
   
 16. Philipo Kidwanga

  Philipo Kidwanga Verified User

  #16
  Sep 7, 2012
  Joined: Jul 12, 2012
  Messages: 2,063
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  wangeweza kumuua muhusika palepale tukioni kuhusiana na masaa yaliyobakia nawaambia hauko mbali sana na moto utakaowaka hawataweza kuuzima iwe kwa maji wala kwa petrol.
   
 17. Albedo

  Albedo JF-Expert Member

  #17
  Sep 7, 2012
  Joined: Feb 24, 2008
  Messages: 5,566
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 135
  Mkuu Kama Kipindi Kitarushwa Jumamosi Mbona Wanapiga simu? Mkuu Nieleze nielewe otherwise Kipindi ni Kizuri
   
 18. kookolikoo

  kookolikoo JF-Expert Member

  #18
  Sep 11, 2012
  Joined: Mar 9, 2012
  Messages: 2,537
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 135
  ubarikiwe kwa kazi nzuri.
   
Loading...