Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Ikiwa shirika la umeme Tanesco wameamua kuhakiki mita zao za LUKU ili kujua kama mapato sahihi ya umeme kwa wateja basi imefika wakati muafaka kwa sisi wateja kuhakiki vyombo vyetu vinavyotumia...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Taswira mkazi wa kawaida wa Dar es Salaam anayoipata anaposikia fulani ni CEO wa kampuni au bank kubwa ni kwamba ni mtu Mtanashati, anayepanda gari la kifahari lenye hewa baridi wakati wote...
0 Reactions
1 Replies
4K Views
Nimedokezwa apa kuwa wiki ya usalama barabarani inaanza next week! Na waandishi wa habari wanasema wako kwenye majonzi ya kumlilia Mwangosi kwa siku 40 thus hakutakuwa na taarifa zozote...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Wakuu naomba msaada nataka kujua system ya kuingia Julius Nyerere Airport kwa gari nasikia gate lao ni electronic,je unafanyaje ili lifunguke? unalipia wapi au kuna button unabonjeza? naomba...
0 Reactions
20 Replies
6K Views
La kwanza nililojiuliza jana je hawa TBC wafanyakazi wake si waandishi wa habari?? taarifa ya habari ya jana imenipa jibu kwamba kile ni chombo cha ccm na si cha waandishi wa habari na pia ata...
1 Reactions
17 Replies
2K Views
wadau kuna habari zimezagaa hapa mza "the rock city" kuwa kuna mtu alipuliza sumu ndani ya club rock bottom siku ya jmosi usiku, watu kadhaa walijeruhiwa. mwenye habari kamili atujuze tafadhali. . . .
0 Reactions
10 Replies
2K Views
POLISI WALIOTEKELEZA OPERESHENI WADAIWA KUSAFIRISHWA KUTOKA MIKOA MINGINE, WAANDISHI WA HABARI IRINGA WASUSIA MKUTANO WA DCI MANUMBA INADAIWA kwamba askari waliokuwa katika operesheni ya kuzuia...
0 Reactions
13 Replies
3K Views
Abiria zaidi ya 15 wamefariki papohapo baada hiece waliokuwa wanasfiria toka musoma mjini kwenda nyamswa,bunda na butiama kupasuka tairi mbili za nyuma na kupinduka vibaya sana nje kidogo ya...
1 Reactions
15 Replies
2K Views
Yale maandamano ya waandishi wa habari yaliyofanyika janakupinga mauaji ya mwandishi mwangosi na ukiukwaji wa haki za raia yanayofanywa na polisi yameshindwa kufikia malengo kwa baadhi ya mikoa na...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
watch Mliman Tv
0 Reactions
17 Replies
3K Views
hizi trafiki light hapa vipi? Wahusika wamelala? Uhasibu ya hapa karibu na uwanja wa taifa
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Wadau angalieni hii picha naona maafande wamegeuka kuwa waandishi wa habari wakati wa maandamano ya waandishi wa habari, nini tafsiri yake?
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Usafiri wa treni jijini Dar es saklaam utaanza mwezi Oktoba baada ya kukamilika kwa maboresho ya reli kutoka Ubungo hadi stesheni. Akizungumza jana baada ya kufanya safari ya majaribio Naibu...
2 Reactions
2 Replies
1K Views
Ili kuweka kumbukumbu ya kumuenzi Mwangosi na jukwaa la kuukumbusha umma umuhimu wa kuheshimu uhai wa wanadamu na kazi zao, napendekeza siku aliyouawa Mwangosi ifanywe siku maalum ya kukumbukwa na...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Nimetafakari na kupata ushauri wa familia, ndugu, wazee, jamaa na rafiki zangu na sasa nimefikia uamuzi, nitauweka wazi kwenye press conference nitakayofanya Jumanne wiki ijayo! SOURCE: FACEBOOK...
0 Reactions
33 Replies
3K Views
  • Closed
Ndugu wanajf napenda kuungana na waandishi katika kuomboleza kifo cha mwanahabari Mwangosi. Baada ya kuomboleza napenda kuelezea masikitiko yangu juu ya hulka au kile kinachoweza kuitwa mazoea...
2 Reactions
186 Replies
14K Views
"Baadaye jioni, Rais Kikwete, ambaye anaongozana na kundi kubwa la Wafanyabiashara wa Tanzania, atashiriki chakula cha jioni ambacho ameandaliwa na Jumuiya ya Wafanya Biashara ya Kenya." Hilo...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Nimeshangazwa na upole-uzembe wa wanahabari wa Arusha kwa kitendo chao cha kukubaliana kiulaini na jeshi la Polisi kusitisha maandamano yao kwa sababu za KIUABUNUWASI. Ikiwa waliamua kuandamana si...
1 Reactions
0 Replies
911 Views
Wanajamvi naomba mnieleweshe, je,shughuli ya ufanguzi wa tawi la chama ni hadi polisi wakubali? Naomba kutoa hoja.
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Huwa nashangaa mantiki ya kuwa na serikali iwapo wachina na wageni wengine wanaingia na kujichimbia madini yetu kiholela huku wawekezaji wakichukulia watakavyo. Je nini mantiki ya kuwa na serikali...
0 Reactions
23 Replies
3K Views
Back
Top Bottom