Tanzania yapoteza wanajeshi watatu Sudan | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Tanzania yapoteza wanajeshi watatu Sudan

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Moshe Dayan, Aug 26, 2012.

 1. Moshe Dayan

  Moshe Dayan JF-Expert Member

  #1
  Aug 26, 2012
  Joined: Feb 10, 2008
  Messages: 811
  Likes Received: 74
  Trophy Points: 45
  Habari za jioni, natumaini zoezi la sensa linaendelea vizuri huko nchini.

  Habari mbaya ni kwamba wanajeshi watatu wa tanzania wamefariki dunia baada kuzama majini.

  Hao ni wale wa kundi la TANZBATT 6 ambao waliondoka huko nyumbani wiki iliyopita.

  Miili ya wawili imepatikana, mmoja bado, miili itarudishwa Tanzania tarehe 28 Agosti kwa ajili ya mazishi.

  Taarifa hizi nimezitoa baada ya "next of kin" kutaarifiwa. Poleni sana wafiwa.

  Source: Mimi mwenyewe MOSHE DAYAN.
   
 2. bemg

  bemg JF-Expert Member

  #2
  Aug 26, 2012
  Joined: Apr 25, 2010
  Messages: 2,706
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 135
  Habari za kuhuzunisha.Mungu awape faraja wafiwa
   
 3. F

  FJM JF-Expert Member

  #3
  Aug 26, 2012
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 8,088
  Likes Received: 90
  Trophy Points: 145
  Poleni sana wafiwa. RIP wanajeshi.
   
 4. Moshe Dayan

  Moshe Dayan JF-Expert Member

  #4
  Aug 26, 2012
  Joined: Feb 10, 2008
  Messages: 811
  Likes Received: 74
  Trophy Points: 45
  ni kwamba walikua kwny patrol ya kawaida.., walikua nane kwenye gari.., gari likaporomokea kwenye maji watano walifanikiwa kuruka, watatu wakashindwa walikua wamekaa sehemu mbaya.., tunahangaika kujua sababu ya rover kuporomokea kwenye maji
   
 5. Z

  ZeMarcopolo JF-Expert Member

  #5
  Aug 26, 2012
  Joined: May 11, 2008
  Messages: 13,590
  Likes Received: 480
  Trophy Points: 180
  Poleni. Majina yao kina nani?
   
 6. S

  Shaabukda Member

  #6
  Aug 26, 2012
  Joined: Apr 18, 2012
  Messages: 96
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Sad! Poleni wafiwa.
   
 7. REMSA

  REMSA JF-Expert Member

  #7
  Aug 26, 2012
  Joined: Jan 25, 2012
  Messages: 2,569
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 145
  Tunaomba majina mkuu
   
 8. Laurence

  Laurence JF-Expert Member

  #8
  Aug 26, 2012
  Joined: Jun 11, 2011
  Messages: 3,106
  Likes Received: 37
  Trophy Points: 145
  Pole iwefikie wafiwa popote pale walipo
   
 9. Moshe Dayan

  Moshe Dayan JF-Expert Member

  #9
  Aug 26, 2012
  Joined: Feb 10, 2008
  Messages: 811
  Likes Received: 74
  Trophy Points: 45
  Yatatangazwa..., ila kama una ndugu kwenye kundi la walioondoka last week na hujapata taarifa ya kifo basi ujue ndugu yako yupo hai
   
 10. W

  Wajad JF-Expert Member

  #10
  Aug 26, 2012
  Joined: Jul 20, 2012
  Messages: 1,130
  Likes Received: 301
  Trophy Points: 180
  ......mashujaa walokufa wamekufa kishujaa, mashujaa 'watakaorudi watarudi' kishujaa, lengo na nia yetu ilikuwa moja............
   
 11. Moshe Dayan

  Moshe Dayan JF-Expert Member

  #11
  Aug 26, 2012
  Joined: Feb 10, 2008
  Messages: 811
  Likes Received: 74
  Trophy Points: 45
  Wamekufa kishujaa.., unapokua mediator kuhakikisha watu wa kundi fulani hawapati mateso kutoka kundi fulani(janjaweed-serikali), surely, ni ushujaa
   
 12. JIULIZE KWANZA

  JIULIZE KWANZA JF-Expert Member

  #12
  Aug 26, 2012
  Joined: Nov 6, 2010
  Messages: 2,573
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Tehe Tehe Tehe!we jamaa umenifanya niitwe chizi na watoto...machozi yananitoka watoto wakamuita mama Yao mama njoo muone dad kawa chizi anachekea simu ikabidi niwaonyeshe jamaa yangu ulicho andika wao ndio nnadhani wamechoka zaidi yangu mwanangu wa P2 kaniambia dady jamaa yako kasoma mpaka anaandika kinyume nikamuuliza kama icho kinyume kimbele angeandikaje? Akasema (R.I.P Solders)
   
 13. Sabayi

  Sabayi JF-Expert Member

  #13
  Aug 26, 2012
  Joined: Dec 4, 2010
  Messages: 2,321
  Likes Received: 68
  Trophy Points: 145
  R.I.P Our heroes we will always honor your contribution in this country.Poleni sana wafiwa mungu awape nguvu katika kipindi hiki kigumu
   
 14. tanira1

  tanira1 JF-Expert Member

  #14
  Aug 26, 2012
  Joined: Nov 18, 2011
  Messages: 938
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  walale pema peponi hivi mafisadi wanajisikiaje wakiona vijana wanajitolea maisha kwa nchi yao? tunanataka bilioni zetu za uswiss
   
 15. steveachi

  steveachi JF-Expert Member

  #15
  Aug 26, 2012
  Joined: Nov 7, 2011
  Messages: 4,129
  Likes Received: 1,731
  Trophy Points: 280
  daaaa,majembe ndo yashatangulia kwa sir.god,mola awaweke panapowastahili,aaaamennn
   
 16. t

  thatha JF-Expert Member

  #16
  Aug 26, 2012
  Joined: Apr 29, 2011
  Messages: 15,234
  Likes Received: 179
  Trophy Points: 160
  Natamani sana kifo cha kishujaa kama hiki,unakufa ukiwa mstari wa mbele,full combat,nyambaf kabisa.
   
 17. masatujr1985

  masatujr1985 JF-Expert Member

  #17
  Aug 26, 2012
  Joined: Oct 27, 2011
  Messages: 1,933
  Likes Received: 393
  Trophy Points: 180
  Pole kwa wafiwa but hawa wanatakiwa kukomboa Taifa lao kwanza kutoka kwenye ufisadi tololo siyo kupambana nchi za nje alhali ndani kwao uozo chungu mzima. RIP fighters.
   
 18. c

  chitanda.nyoka Senior Member

  #18
  Aug 26, 2012
  Joined: May 3, 2012
  Messages: 195
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  walikuwa wanajeshi wa kawaida?coz nna mdogo wangu ni commandoo wa jwtz yupo huko tangu mwezi 2 mwaka huu alitakiwa kurudi tar 23mwezi huu naona kmya.
   
 19. b

  bdo JF-Expert Member

  #19
  Aug 26, 2012
  Joined: Nov 20, 2006
  Messages: 5,712
  Likes Received: 1,611
  Trophy Points: 280
  poleni sana wafiwa, ila nasikia hawa jamaa zetu (wanajeshi) wanakwenda kwa imani na uzalendo mkubwa kwa ajili ya amani ya Afrika but kuna wengine wanatumia migongo yao kula hela zao "..wema hawana maisha, mashaka yangali yapo"
   
 20. Moshe Dayan

  Moshe Dayan JF-Expert Member

  #20
  Aug 27, 2012
  Joined: Feb 10, 2008
  Messages: 811
  Likes Received: 74
  Trophy Points: 45
  atarudi tarehe 28 na miili ya mashujaa..,
   
Loading...