Bus Rapid Transit in Dar | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Bus Rapid Transit in Dar

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by 654, Sep 10, 2012.

 1. 654

  654 Senior Member

  #1
  Sep 10, 2012
  Joined: Feb 1, 2012
  Messages: 173
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  I have been watching with keen interest on the development progress of the Rapid transit infrastructure in the Haven of Peace aka Dar Es Salaam. Does anyone have an idea on the actual operation? Do we see a system where commuters board and disembark from the middle of the dual carriage? How do they get there in the first place or how will they leave from there to their homes etc? what of private cars?

  Wakuu yule ako na details za implementation ya Mabasi ya Kasi Dar? naona kama vituo vyajengwa katikati ya barabara, sasa abiria tutafikaje hapo na tutatokaje hapo? Na hii magari ingine itakuwa vipi kwa hiyo system?
  Naomba kuwasilisha
   
 2. sbilingi

  sbilingi Senior Member

  #2
  Sep 10, 2012
  Joined: Nov 16, 2010
  Messages: 144
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  557085_3989588945503_213521747_n.jpg

  Angalio hiyo utajua namna tutakavyovuka barabara, na wala sisi si wa kwanza, walianza hawa hapa chini
  mabasi yaendayo kasi.jpg
   
 3. Kijakazi

  Kijakazi JF-Expert Member

  #3
  Sep 10, 2012
  Joined: Jun 26, 2007
  Messages: 3,546
  Likes Received: 44
  Trophy Points: 135
  Fungua hiyo link jamaa wameelezea vizuri pamoja na picha ambazo nafikiri zitajibu maswali yako!

  DAR ES SALAAM | Rapid Transit Bus Network - SkyscraperCity
   
 4. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #4
  Sep 10, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,153
  Likes Received: 2,400
  Trophy Points: 280
  Niaje chalii ya nairobi? Wanasemaje kina prezzo na kibaki? Vp huu mradi na kwenu upo?
   
 5. Ndahani

  Ndahani JF-Expert Member

  #5
  Sep 10, 2012
  Joined: Jun 3, 2008
  Messages: 14,314
  Likes Received: 1,784
  Trophy Points: 280
  DalaDala mwisho Chalinze kwa wazee wenzao
   
 6. Ngalikihinja

  Ngalikihinja JF-Expert Member

  #6
  Sep 10, 2012
  Joined: Sep 1, 2009
  Messages: 16,389
  Likes Received: 3,707
  Trophy Points: 280
  Mi nasubiri tugongwe wakati wa kwenda na kutoka kwenye hivyo vituo
   
 7. Watu8

  Watu8 JF-Expert Member

  #7
  Sep 10, 2012
  Joined: Feb 19, 2010
  Messages: 47,315
  Likes Received: 2,601
  Trophy Points: 280
  nenda kwenye search box ya JF, andika maneno bus rapid transit utaona muonekano wa mradi japo kwa uchache vile utakua...huo uzi upo hapa jamvini....kuhusu kwenda kupanda basi nadhani katika kila stand ilipo kutakuwa na vivuko maalum vyenye kuzuia magari
   
 8. 654

  654 Senior Member

  #8
  Sep 11, 2012
  Joined: Feb 1, 2012
  Messages: 173
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  My gratefulness, and thank you for the efforts
   
 9. 654

  654 Senior Member

  #9
  Sep 11, 2012
  Joined: Feb 1, 2012
  Messages: 173
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Chalii, si vile iko mbaya Prezo ako hata Raila, si tuko na super highway, huko Tz mnayo? Mazee ju ucome uone Thika highway is the best in Africa! na tunasonga:A S 465:
   
 10. kingxvi

  kingxvi JF-Expert Member

  #10
  Sep 11, 2012
  Joined: Feb 11, 2011
  Messages: 883
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  nyie nao hamna lolote kujisifia kwingi kupita uhalisia
   
 11. mtumishidc

  mtumishidc JF-Expert Member

  #11
  Sep 11, 2012
  Joined: Mar 7, 2012
  Messages: 488
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 35
  hakika umejibu swali lililonisumbua kwa muda mrefu!
  wakandarasi site hawaeleweki lakini sasa nimepata picha!
   
Loading...