Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

HALI ya usafiri katika Kituo cha Mabasi yaendayo mikoani na nchi jirani cha Ubungo (UBT), Jijini Dar es Salaam imekuwa tete baada ya shule kufunguliwa.Uchunguzi uliofanywa na Mwananchi jana...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Ni jambo sijalipatia jibu: hivi kiongozi, sema rais, anahisi vipi wakati chombo/vyombo vya serikali yake vinatwaa roho ya raia, hasa hasa bila haki? Nauliza hivi kwa vile mimi binafsi, ambaye sina...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
"Presidency does not change a person (characters) but it reveals who he/ she is." By Michelle Obama. Sasa Rais wetu tunamfahamu vizuri sana kwa sababu ya kuwa Rais, tunayoona anatenda sio kuwa...
0 Reactions
1 Replies
984 Views
Sijawahi kuona na wala sikutegemea,nifika jana hapa hospitali ya mkoa songea jana usiku kumleta mgonjwa kitu tulicho kutana nacho nicha kusikitisha sana.kwa hospitali kubwa kama hii huwezi kuamini...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Katika kuamua kufichua mauaji ya polisi wetu bomoabomoa ya Madale na maeneo mengine mambo ya ajabu yamegundulika, Mama mmoja amefunikwa na kupondwa pondwa na katapila yeye na familia yake pindi...
0 Reactions
25 Replies
4K Views
Inasemekana Bandarini DSM kumetokea wizi wa container la shaba ambapo walinzi walifanikiwa kulikamata na baadhi ya wezi wakiwamo police kadhaa (Idadi na majina) Kwa sasa reserved coz cjawa na...
0 Reactions
17 Replies
2K Views
Habari za Jumanne ya leo wanaJF Katika kipindi cha Tuongee Asubuhi Jumanne ya leo tutaangazia mabadiliko ya sera ya Posta Nchini ya Mwaka 2003 ambayo yalitoa uwepo wa uhitaji wa madailiko ya...
1 Reactions
20 Replies
2K Views
Wizara ya fedha imejikuta iko kwenye wakatai mgumu baada ya malipo mbalimbali ya kuendesha ofisi za serikali kukwama kutokana na kuingiza mfumo mpya wa malipo. Kwa taarifa zilizopo ni kwamba...
0 Reactions
0 Replies
3K Views
Kuna waziri wa uchukuzi mh Mwakyembe alisema train itaanza tarehe 10/9/12. Kwa walio karibu na hayo maeneo ya ubungo maziwa au buguruni,vipi train hiyo imeanza?
0 Reactions
71 Replies
8K Views
  • Closed
Bwana Ridhiwani, Ni matumaini yangu kwamba umzima wa afya popote pale ulipo. Ninaandika hii barua kwa huzuni kubwa nikitarajia ya kwamba yote yaliyomo utayashughulikia ipasavyo na haraka...
2 Reactions
23 Replies
4K Views
Kwasasa naona kuna kila dalili aliofanyiwa Ulimboka kupitwa na kusahaulika kutokana na hili la Mwangosi. Rai yangu ni kuwa licha ya kuibuka hili lakini imetupasa kushikilia pia la ULIMBOKA...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
kama maandamano basi leo npo front leo kwenye maandamano kwa sababu ni mwanajf npo sawa wezangu jf
0 Reactions
0 Replies
881 Views
Jamani kama kuna mwanaukumbi anamfahamu/ana-contact ya admin wa CHADEMA website, naomba amshtue achangamkie kazi yake. Ni uzembe admin kuchukua wiki kabla ya kujibu query.
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Katika nyanja ya hoteli, hii tuzo ni kama kwenye mpira mchezaji bora duniani, ni aghalabu kupata hiyo tuzo mara mbili mfululizo jinsi ushindani ulivyo kuwa wa hali ya juu. Ahsante Kikwete...
0 Reactions
17 Replies
10K Views
Niliingia kwenye gents ya supermarket moja na kusikia jamaa akiwa kwenye 'cubicles' za call ndefu huku akizungumza na simu ya mkononi. Hivi hizi simu kuitwa 'mobile' maanake ni sehemu zote waweza...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Wadau kinachonishangaza waziri anajitetea na kulalamika kwa mwandishi wa habari semunyu kwny kipindi maalum cha dk45,badala ya kushindwa kuwawajibisha watendaji wa wizara na TANAPA kwenye ufisadi...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Baada ya takriban miaka 21 tangu alipouwawa Rais wa nchi hiyo Marehemu Said Bare, Hatimaye wabunge wa nchi hiyo leo wanafanya uchaguzi wa kumpata Rais wao ndani ya Somalia, hii ni baada ya...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Ilikuwa ni katika tamasha la injili lililofanyika hapa Katesh Manyara kama ninavyomnukuu kutoka kwenye fb page yake: POST 1: Munishi Faustin DailyNews KASHFA YA CCM KUUA WANAHABARI NI DOA KUBWA...
0 Reactions
11 Replies
9K Views
Mimi ni mkazi wa kimara temboni, huu ni mwaka wa tatu sijawahi kupata hayo maji tunayoita ya mchina. Ajabu kila mwezi dawasco wamekomaa kutuma bill najiuliza wananichokoza au wanafanya utani...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
TANZANIA KWELI NI SHAMBA LA BIBI HILI INGEMKUTA MTZ HALI INGEKUWA MBAYA SANA LAKINI KWA SABABU NI MCHINA HATA FAINI ANAYOPEWA DUH HATARI SANAAAAAA Mkurugenzi wa Kampuni ya REDore Mining mwenye...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Back
Top Bottom