Kadhia ya GIZA kituo cha DALADALA CHA UBUNGO

Bajabiri

JF-Expert Member
Jan 1, 2011
9,730
1,201
Ifikapo usiku ndani ya kituo cha daladala cha ubungo usalama huwa mdogo sana,sababu kubwa ni GIZA linalosababishwa na ukosefu wa taa,mazingira ya kituo cha ubiungo yanatofautiana na kile cha mwenge ambacho huwa na mwanga kwa sababu kimezungukwa na maduka,ambapo taa za madukan huangazia mpaka kituon,
Ikiwa ushuru unakusanywa kila siku,mamlaka husika kwanini zisiweke taa,,,,,??tuliona zoez la kuwaondoa wamachinga pale kituon lilivyofanywa kwa haraka na nguvu why not taa???
Watu wa manispaa ya kinondon kama mpo humu,diwan wa ubumgo na mbunge wake,fanyien kazi hili.
Sosi mim mwenyewe natokea ubungo naenda kinondon MAKABURIN KUTEMBEA
 
Back
Top Bottom