Anataka Urais lakini anaona taabu kusalimiana na waTZ

Baba Kimoko

Member
Jun 1, 2012
75
56
sasa huyu naye anataka u-rais wa Tanzania.
membe 4 2015.jpg
 
Ndoo viongozi wa CCM, siyo kusalimiana tu wanaona noma, bali pia haki ya kila m-Tanzania kupata huduma bora za kiafya, elimu, umeme, maji, usafiri pia wanaona noma.
 
Kwani unafikiri kuna mtu anashida na walalahoi. Hao wako kwa ajili ya manufaa yao binafsi. Kwa walalahoi inatakiwa kura tu.
 
Kutaka na kupata ni tofauti. Muache atake si ni chama chao? Kwani wanaoushilia sasa hivi wana nini la maana?

Tunachojua ni kwamba safari hii kila mtu anataka: NCHIMBI, SITTA, PINDA, MWINYI, LOWASA, woooote! na ukiwaangalia sasa hivi wanachokifanya ni kutaka kulazimisha waonekane watu wa hekima, kwa kuongea sana na kuwakumbuka wananchi lakini wengine wananyamza kwa kila jambo, liwe zuri sawa, baya sawa! we utakuwaje na waziri kama mwinyi asiyeweza hata kutoa hotuba kwa machinga?
 
attachment.php

Kumbe ni Bernard Membe siamini
Ziwa Nyasa alienda kuwasalimia waMalawi waishio mpakani?
maana Malawi wanadai mpaka upo hapo ufukweni au ni bwawa gani tusaidieni
 
Hata anashindwa kujiangalia mwenyewe na kujiona hafai mpaka tumwambie?
 
Back
Top Bottom