Nisemalo ni kweli kwani jana ilikuwa ni zamu ya maeneo ya Njiro ambapo umeme ulikatika asubuhi na kurudi saa nne usiku. Leo ni Zamu ya maeneo ya Kimandolu na vitongoji vyake ambapo umeme umekatika...
WAZIRI wa Ujenzi, Dk. Harrison Mwakyembe, aliliambia Bunge kuwa kuanzia Septemba mosi mwaka huu, itakuwa ni marufuku kwa mabasi yaendayo mikoani na nje ya nchi kusimama vichakani ili abiria wao...
Mh. Msigwa yupo ujerumani jijin Berlin amekuwa kwenye semina ya mafunzo ya mabadiliko ya tabia ya nchi, climate change ,anawataka watanzania wanaoishi hapo Berlin wanotaka kujua M4C na vuguvugu la...
Ikiwa shirika la umeme Tanesco wameamua kuhakiki mita zao za LUKU ili kujua kama mapato sahihi ya umeme kwa wateja basi imefika wakati muafaka kwa sisi wateja kuhakiki vyombo vyetu vinavyotumia...
Taswira mkazi wa kawaida wa Dar es Salaam anayoipata anaposikia fulani ni CEO wa kampuni au bank kubwa ni kwamba ni mtu Mtanashati, anayepanda gari la kifahari lenye hewa baridi wakati wote...
Nimedokezwa apa kuwa wiki ya usalama barabarani inaanza next week!
Na waandishi wa habari wanasema wako kwenye majonzi ya kumlilia Mwangosi kwa siku 40 thus hakutakuwa na taarifa zozote...
Wakuu naomba msaada nataka kujua system ya kuingia Julius Nyerere Airport kwa gari nasikia gate lao ni electronic,je unafanyaje ili lifunguke? unalipia wapi au kuna button unabonjeza? naomba...
La kwanza nililojiuliza jana je hawa TBC wafanyakazi wake si waandishi wa habari?? taarifa ya habari ya jana imenipa jibu kwamba kile ni chombo cha ccm na si cha waandishi wa habari na pia ata...
wadau kuna habari zimezagaa hapa mza "the rock city" kuwa kuna mtu alipuliza sumu ndani ya club rock bottom siku ya jmosi usiku, watu kadhaa walijeruhiwa. mwenye habari kamili atujuze tafadhali. . . .
POLISI WALIOTEKELEZA OPERESHENI WADAIWA KUSAFIRISHWA KUTOKA MIKOA MINGINE, WAANDISHI WA HABARI IRINGA WASUSIA MKUTANO WA DCI MANUMBA
INADAIWA kwamba askari waliokuwa katika operesheni ya kuzuia...
Abiria zaidi ya 15 wamefariki papohapo baada hiece waliokuwa wanasfiria toka musoma mjini kwenda nyamswa,bunda na butiama kupasuka tairi mbili za nyuma na kupinduka vibaya sana nje kidogo ya...
Yale maandamano ya waandishi wa habari yaliyofanyika janakupinga mauaji ya mwandishi mwangosi na ukiukwaji wa haki za raia yanayofanywa na polisi yameshindwa kufikia malengo kwa baadhi ya mikoa na...
Usafiri wa treni jijini Dar es saklaam utaanza mwezi Oktoba baada ya kukamilika kwa maboresho ya reli kutoka Ubungo hadi stesheni. Akizungumza jana baada ya kufanya safari ya majaribio Naibu...
Ili kuweka kumbukumbu ya kumuenzi Mwangosi na jukwaa la kuukumbusha umma umuhimu wa kuheshimu uhai wa wanadamu na kazi zao, napendekeza siku aliyouawa Mwangosi ifanywe siku maalum ya kukumbukwa na...
Nimetafakari na kupata ushauri wa familia, ndugu, wazee, jamaa na rafiki zangu na sasa nimefikia uamuzi, nitauweka wazi kwenye press conference nitakayofanya Jumanne wiki ijayo!
SOURCE: FACEBOOK...
Ndugu wanajf napenda kuungana na waandishi katika kuomboleza kifo cha mwanahabari Mwangosi.
Baada ya kuomboleza napenda kuelezea masikitiko yangu juu ya hulka au kile kinachoweza kuitwa mazoea...
"Baadaye jioni, Rais Kikwete, ambaye anaongozana na kundi kubwa la Wafanyabiashara wa Tanzania, atashiriki chakula cha jioni ambacho ameandaliwa na Jumuiya ya Wafanya Biashara ya Kenya."
Hilo...