WAKILI WA MAHAKA YA ICC AMEKAMATWA NCHINI LIBYA ALIPOKUA MAEKWENDA KUMHOJI MTOTO WA GADDAFI. INASEMEKANA ALIMPA NYARAKA ZA SIRI.
SOURCE: HABARI ZA MITAA: WAKILI WA ICC KIZUIZINI NCHINI LIBYA
13 September 2012 Last updated at 06:14 ET
By John JamesBBC News
For visitors to Yamoussoukro, the official capital of Ivory Coast and the birth place of its first president, the...
Katika kutekeleza sheria za nchi, nchini misri waliyekuwa waziri mkuu katika utawala wa hossan mubaraka amehukumiwa jela miaka 3 kwa kosa la ufisadi.
Tanzania sheria ni kwa ajili ya nani?
Kuna habari kwamba baadhi ya vigogo wa Jeshi la Polisi na mfanyabiashara mmoja waliotajwa na Mwenyekiti Mtendaji wa Makampuni ya IPP, Mzee Reginald Abraham Mengi watafikishwa mahakamani kwa...
Tunaomba wadau wa maendeleo Tanzania kuchangia mawazo chanya ili kuboresha uzinduzi huo wa kitaifa siku ya tar;05/10/12..jijini Mwanza..TTN ni taasisi mpya ambayo imeanzishwa na kusajiliwa na...
Wadau naomba kufahamishwa kwanini walimu wa Kenya wanaendelea na mgomo hata baada ya serikali kukimbilia mahakamani? Na walimu wa Tanzania walirudi kazini hata kabla ya rais wa chama chao...
Jamani chama cha wakulima wa mpunga Ruvu CHAURU wamefanyiwa vitendo vya kifisadi na viongozi wao baada ya kulipia mashamba kwa ajili ya kilimo cha umwagiliaji na wengine kujikuta wakikosa...
Madaktari nchini kenya wameanza mgomo leo hii nchi nzima kushinikiza wenzao ni zaidi ya 393 walisimamishwa kazi katika mgomo wa awali warudishwe kazini....source k24 news
MAKAMU Mwenyekiti wa CCM, Pius Msekwa anatarajia kuiuzia Serikali ya Wilaya ya Ukerewe nyumba yake iliyo katika eneo la Bomani mjini Nansio ambayo imekuwa ikitumiwa na viongozi wa ngazi ya kitaifa...
Kabla ya Mwangosi kumetokea mambo mengi ya kuashiria manyanyaso kwa wandishi wa habari kama vile kumwagiwa tindikali kwa Saed kubenea jambo ambalo lilikuwa kiashiria kibaya na endapo mngeungana na...
kwa siku richmond walilipwa milioni 152 kwa miezi 21 = siku 21x30=630
watanzania wote hadi leo hatujafika milioni 50
umeme hawajazalisha,
kama pesa hii tungeamua kuwagawia taslimu watanzania basi...
Wana JF napenda kusema ya moyoni. Hivi ni kweli tulikuwa tunateseka wadanganyika kwa mgao bandia wa umeme? Mbona tangu wachukue wizara hawa jamaa hatuoni tena mgao isipokuwa kama kuna hitilafu ya...
Nilikuwa nafuatilia kila nikifungua jamii forum haipiti week lazima kutakuwa na habari ya lawama au kashfa kwa ndugu yetu kibonde wa clouds radio na kipindi cha jahazi. Kwanza nimegundua kipindi...
ujenzi wa daraja la kigamboni umeanza hv karbuni na ujenzi huo utakao chukua mda wa miaka mi 3 hadi kukamilika utakua ukidhaminiwa na mfuko wa NSSF,.Je wana JF wenzangu hii kweli co sababu...
WAKAZI zaidi ya 3,000 wa Bugudadi, Mbagala katika Manispaa ya Temeke jijini Dar es Salaam wako mbioni kuondolewa kwenye maeneo wanayoishi mabondeni ili kupisha uhakiki na tathimini ya nyumba...
Adha ya msongamano wa foleni barabarani kwa wakazi wa Jiji la Dar es Salaam huenda ikapungua makali kuanzia mwezi ujao treni ya abiria kutoka Steshenni hadi Ubungo itakapoanza kutoa huduma...
Kwa muda wa zaidi ya Muongo mmoja sasa tumekuwa tukisikia watanzania takribani wote wakilia kwa sauti moja na ya uchungu kuwa adui yao mkubwa ni ufisadi. Nami natoa wito kwa wote wenye kuelewa na...
Kuku wa kienyeji huwa anataga mayai kutamia hatimae kuangua na hulea watoto kwa kuonyesha upendo wa hali ya juu ikiwemo kuwa protect chini ya bawa zake pale adui yeyote akiwemo mwewe...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.